NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 647
Ushawahi kusoma ule ukurasa wa mapenzi kwenye magazeti ya udaku zinakuaga na title kama "MUULIZE ANTI LULU" watu wanavyouliza maswali ya kimbuzi kama
-Anti, mimi ni kijana mtanashati,kuna binti nampenda sana ila ni mke wa mtu nifanyeje??
-Anti,tangu nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na demu wangu ananilazimisha tufanye nimkubalie??
-Anti kila nikiamka asubuhi nakuta sehem zangu za siri zimesimama je huu utakua ni ugonjwa?unaitwaje?na tiba yake ipoje??
-Anti,kuna kaka nampenda sana ila yeye ni mkubwa sana kwangu na mimi bado nasome je naweza kuanza nae mahusiano ya kimapenzi
-Anti kuna binti nimeachana nawe mwezi wa sita sasa ila bado nampenda na yeye ana mchumba wake sasa je naweza kumuomba arudiane na mimi?maana siwezi kuishi bila yeye
-Anti kuna nywele zinakua sehemu za siri nizifanyeje?naweza kuzinyoa au hata saloon wanayoa??