Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,630
- 112,721
Mutu ya congo wewe no one like them....
nigerian men bana
wamepanda kwa hewa ni balaa
wakakamavu usipime,mi ndukiiiiii hahaa!!
Mutu ya congo wewe no one like them....
nigerian men bana
wamepanda kwa hewa ni balaa
wakakamavu usipime,mi ndukiiiiii hahaa!!
Mutu ya congo wewe no one like them....
hahhaaaa!!shost mmmmh!!Mutu ya congo wewe no one like them....
pamoja na kupigwa kote huko they are not in the list?? sorry guys jarubuni zaidi ya hapo..
Uganda? no please....
umelimit kusema Africa la sivo wahindi ndo wangekuwa nambari moja...
basi usiendelee,nimekuelewa.lol
Ningeshangaa tangu lini Mjaluo na mapengo yake akawa romantical...mnafanya masikhara na romantical status nini! Oooopsiii!
Baby kila kitu kina muda wake tatizo Bongo mnaishi kwenye filamu siku zote munasahau realities za life kuna wakati wa kazi na wakati wakujirusha full. Hata Ughaibuni kule Marekani hawaishi maisha ya Hollywood siku zote. Mbona tukija huko Tz warembo wa kibongo hawatuachi. Maana sisi tunajua ku-appreciate uzuri wa kike. kwanza mademu wa tanga huniacha hoi kwa jinsi hurembesha kiswahili na lafudhi ya ki-aina yaani natamani nimle mzima mzima.
mmmh kwani ushatoa ile kitu inafunika kichwa?
i mean cap?
Kuna thread moja ililetwa humu kuhusu maraisi wa africa mashariki na kati wenye sura mbaya. Kenya iliongoza maana raisi wao alikuwa Mwai Kibaki na aliemtangulia alikuwa MOI.. daah! Nilicheka sana maana jamaa waliwaponda wakenya vibaya sana...
Ndo hapo brah... nusura ningeiyaga kKenya.
Ndio maana yake...uko kama ulivyozaliwa.
hapo uliponiita dada ndo umeharibu sasa.....
Hahahahaha....wakenya wengi wao bado ni "wazima" mkuu.
Wanawaonea wanaume wa Kenya, hata dada zao hawajambo pia.
Kuna yule mama profesa wa mambo ya mazingira.... huyu tumpe PM wetu washindanishwe. Na kuna first lady wa rais wa tatu huyu tumpambanishe na waziri wetu a.k.a Tyson. Mawaziri wetu wataonekana warembo walah.
Kenya naona huwa wanazaliana usiku wakati Mungu kapumzika.
Ukweli ni kwamba February mwaka huu siku ya wapendanao (valentine day) vyombo vya habari vya kenya vilisema utafiti umefanyika E.Africa kuhusu Romantic relationship,caring etc.Watz wakaongoza,then Uganda n lastly Rwanda.then kenya na burundi hakuna kitu...reference:radio maisha kenya,ntv etc