asee sidhani kama wapo romantic
kwanza si unajua huwa hawananiii?
Raila aliondoa lile likitu akiwa waziri mkuu? Brush ile ndo mpango mzima.
SHERRIF ARPAIO must be a luck guy.i envy him for you.lol
No, usiwaze mbali. He is my very good friend. Alipotea miezi kadhaa naona ndo karudi. Nimemuona kwenye sredi yangu flani hivi.
Afu wewe bwana, we have unfinished business.
ukiona hivyo ujue huyo ana mapenzi ya kweli na nchi yake.ni mzalelendo hasa.huwezi kujaza bendera ya nchi yako ndani hivi hivi tu.lol
basi mama yameisha.usije ukaanza kunipiga madongo kama siku zile.sijasahau hivo.hahaha.
kwanza huwa nawaona ni watu aggressive mmh
ha ha kadunda nalo miaka yote hiyo loh
It looks like you have tested it already...lol! Ndio maana. Ukiwa nalo lile ndio unakuwa mtu mzima maana hakuna uliko punguzwa.
News Just In....Top 6 Most Romantic Men in
Africa..
*Nigerian Men
*Ugandan Men
*Ghananian Men
*Tanzanian Men
*Egyptian Men
*Ethiopian Men....Kenyan Men aint anywhere
among the Romantic Men List. pwahahahaha.
source: https://m.facebook.com/obinna.ike.735/posts/203218573135616?stream_ref=5
my take:
i've pranked you kenyans,sorry with a plausible title .
the author mr.obinna ike igwee says you're nowhere to be listed as the romantic men in africa.
CC Geza Ulole waltham lawmaina78 and all beutiful ladies of MMU under the strong leadership of lara 1 charminglady Madame B Evelyn Salt Passion Lady Karucee and Heaven on Earth .
mje mtupe testimonies zenu about our male inlaws up north.

he he he ningetest ningesema tu kwani sh ngapi....
Hahaha!! umeamua kuburuta vituko vya Obina humu. When we bring our women to Zanzibar, Bongo men there are always left wondering why would an African spend so much money with a lady n such a place. kwanza there is some place known as kigamboni peninsula, where watching the sun go down while kissing passionately and sipping glass of some expensive wine. Usitake nikumbusha aisei maana kazi hapa Nrb haitafanyika..... Bongo men have all the beauty but never bother to experience or appreciate them.
Ati Nigerians??? those will only get closer to a lady ostensibly to rip someone.
my close friend alikuwa anadate mkenya
hakua na raha wala nini...wako busy na kazi tu...wao ni kazi na kazi na wao
hawako romantic kabisa...hata wa tz wanaoishi kwa muda nrefu kenya huwa wanakuwa kama wakenya
Baby kila kitu kina muda wake tatizo Bongo mnaishi kwenye filamu siku zote munasahau realities za life kuna wakati wa kazi na wakati wakujirusha full. Hata Ughaibuni kule Marekani hawaishi maisha ya Hollywood siku zote. Mbona tukija huko Tz warembo wa kibongo hawatuachi. Maana sisi tunajua ku-appreciate uzuri wa kike. kwanza mademu wa tanga huniacha hoi kwa jinsi hurembesha kiswahili na lafudhi ya ki-aina yaani natamani nimle mzima mzima.