Top 5 ya urais 2015

ukisema utaratibu wa ukanda unakuwa unamaanisha nini?



waulize wana uwakilishi kanda ya kusini??i mean lindi na mtwara na vitongoji vyake?
Waulize ni kiongozi gani wa ngazi ya juu kichama anaetokea kanda hii?
Nashukuru kwa kulielewa hilo la udini na ukabila kwa maana hujaniuliza
 
mawazo yako ni mazuri kwako, lakini kwa Tanzania ya leo haingii akilini kusema kuwa mgombea yeyote toka chama cha magamba anaweza kushindanishwa na pure mind toka CDM akafurukuta. hao wa magamba hawawezi hata kuwa katika 10 bora.
 

Kama atakuwepo zzk kura yangu itaenda cdm laki kwa hao hapo juu bora nipumzike nyumbani niangalie movie.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kama kabila lako linawachukia wachagga,siyo lazima iwe ni makabila yote.Usiwasemee wengine,kama una chuki usidhani kila mtu ana chuki.
 
..... kati ya hao nani ambaye mpaka sasa ameandaa mtandao wa kuupata Urais kwa urahisi? ...........
 
Tusidanganyane kama kweli tunataka tupate Rais bora anayefaa ni Prof Lipumba ili ajenge Uchumi utakaotoa ajira na kuleta Neema kwa Watanzania wote.Tumpe kura Prof Lipumba aongoze Tanzania
 

Hakuna Zitto wala Membe
 


Naona maoni meeeengi tena wengine wanaongeza ati Na.6 Nchemba, Na.7 zito, Na.8 and so on!
Hivi mmemuelewa mtoa hoja! au namtoa hoja mwenyewe hajajijua labda alitaka sema Ascending Order? kwani hapa wakwanza ndo wa mwisho!
 

Excellent! Personally am for:

Dr. W.P. Slaa OR Dr. J.P. Magufuli

Prof. I.Lipumba can make very good Prime Minister/Finance Minister. Hon. T.A. Lissu / Dr. A. Mwakyembe may serve as Home Affairs Minister.

Hon. E.N. Lowassa has nothing new, should serve as the retired PM like all retired senior officials.
 

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, wote waliobaki ni either uwajibikaji wao kwenye nyanja za maamuzi hauna kipimo thabiti mpaka sasa or mwingine ameshaonesha kuwa ni mtekelezaji anayehitaji muongozaji.
 
Naomba uelewe kuwa CCM iko makini sana haiwezi kusimamisha watu wenye makundi yanayosigana hadharani kwani ukimchukua mmoja ukamuacha mwingine itakuwa rahisi kwa makundi yaliyoachwa kuasi chama na wataondoka na wanachama wengi au watawahamasisha watu wao wapigia upinzani.

Hivyo basi CCM imejipanga kuhakikisha wagombea wanaojipambanua kuwa wanafaa kuwa marais wakati huohuo wana makundi hawapiti CC kwenda kupigiwa kura NEC.

Hivyo kwa mtazamo wangu wanaofaa kwa CCM ni hawa hapa;
1. Prof. Mark Mwandosya
2. Peter Kayanza Pinda
3. Asha Rose Migiro

Kwa Chadema
1. Dr. Wilbroad Slaa (Phd)

Kwa CUF
1. Prof. Lipumba

Amini usiamini hivi ndivyo itakavyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…