Hayo majina ni sawa lakini jina la John p. Magufuli ungeliondoa kabisa. Yeye amekwisha tenda dhambi moja kubwa hapa Nchini akiwa kiongozi ambayo Haisameheki. Hili la kuuza NYUMBA ZA SERIKALI tena kwa bei ya kutupa na kwa watu ambao wanaweza kujenga zao na kuendeleza uchumi wa nchi hii ni kosa ambalo HALISAMEHEKI kwa watanzania wengi. mm nauliza je Nyerere naye angeamua kuuza wao wangejiuzia nini? Na pia Mhe huyo alivyoulizwa juu ya jambo hili wakati fulani alisema wataendelea kuuza wakati wakijenga nyingine. je mpaka leo wamekwishajenga ngapi?
sasa mtu huyu akiwa rais si atataka kuendeleza hii sera yake ya kuuza mali ya umma. pili ni mbabe mno na anayo ubaguzi wa hali ya juu. aogopwe kama ukoma. ondoa jina lake kwenye list.