Top 5 Forums za JamiiForums

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,599
Habari wana Jamii Forums....Leo ningependa kujua interest za wenzangu humu JF..Obviously JF kuna Forums mbalimbali kutokana na aspects mbalimbali za maisha na interests tofauti za watu...Naomba kila mmoja ataje top 5 yake ya forums anazopenda kuzitembelea zaidi humu JF...Yani we huwa ukiingia JF unaanzia kona ipi...Mi yangu ni hii

5. Chit Chat
4. Tech, Gadgets & Science Forum
3. MMU
2. Celebrities Forum
1. Jukwaa la Siasa

Ipi top 5 yako?
 
1. Jukwaa la Siasa
2. Jukwaa la Kimataifa
3. Inteligence Forum
4. Sport & Entertainment
5. Tech & Gadget
 
Back
Top Bottom