cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,180
- 140,154
Even top 20 hayumo
Even top 20 hayumo
Kwangu kwenye Top 3 hayupo. Maana yeye kwangu ni no 4
Joh Makini ni rapper wa kawaida kabisa kama Kitokololo au Msafiri Diouf. Hizi sio level zake.
Lord Eyez hana mafanikio yeyote kwenye hii game. He's average.
NB: Hawatuwezi ndio ngoma yangu bora ya hip hop ya muda wote!
Kiukweli kama mtu ni mfatiliaji wa hip-hop ya Bongo huwezi kumdiss joh hivo...Inawezekana hupendi tu muziki wa Joh Makini(which is ok kila mtu ana taste yake)
Sio mshabiki wake kabisa lakini siwezi kupuuzia uwezo wake mkubwa wa kiuandishi, flow, swaga na beat selection
Kwenye top 10 yangu anaingia bila shaka
Huubwimbobwa stimu simelipiwa ulibadilisha game ya bongo hiphopKiukweli kama mtu ni mfatiliaji wa hip-hop ya Bongo huwezi kumdiss joh hivo...
Kwanza joh alifanikiwa Sana kimauzo, umaarufu, Ngoma kali zilizopenya Hadi vijijini, swaga na pia mistari mikali inayoigusa jamiii...
Ambaye hamjui vizuri joh apitie hizi ngoma ukiendelea kibisha kaombewe roho ya chuki ikae mbali na nafsi yako..
1. Chochote popote
2. Niaje nivipi
3. Manuva
4. Bye bye
5. Stimu zimelipiwa
6. Blue magic
7. Hao
8. Kilimanjaro
Solo Thang muweke namba 3 hapoHii ndio top 3 yangu ya greateast rapper of all time hapa Bongo.
1. Albert Mangwair
2. Professor Jay
3. Jay Moe
Nipe ya kwako mdau...