Hiyo theory nzuri sana na iko very logical ila uzoefu unaonyesha kinyume na hayo unayoyasema.wapo wanawake wazuri saana tu wanaolewa..
haya mambo hayana fomula...wapo wameolewa wameolewa wametulia..na kuna wengine hawana msimamo wakitongozwa nje wanalega msimamo wao..
kutotulia na mtu mmoja na umalaya ni hulka za mtu binafsi.
ukitongozwa na hata waume kumi kwa siku waeleze tu nishawahiwa hlf unakaza msimamo unaridhika na ulienae..si basi!!!
Siko kokote kaka.Haha haaa... We uko category Ipi?
View attachment 508053
View attachment 508054 View attachment 508055
View attachment 508029
Cherelle Neille is a single mother, working as a shop assistant and living in Manchester. And she says she’s too beautiful to get a boyfriend.
Cherelle anasema anaona wadada wenye Uzuri wa kawaida ndio wanaopata wanaume na kutulia nao lakini yeye mwenye mvuto zaidi hapati wanaume na akiwapata hawatulii nae.
Amesema angefurahia kupata mwanaume atakaye mpenda ki kweli na sio kwa Uzuri wake tu.
Amesema pia kuwa mara nyingi akipata mwanaume na kufanikiwa kwenda nae kwenye appointment (date) wanaume huishia kumsifia Uzuri wake na hawamsikilizi anachotaka kusema au kuongelea mambo ya maana. Boyfriend wake wa mwisho aliishia kumuonyesha tu kwa rafiki zake na kutaka kupiga nae picha tu.
Hivi ni kweli wadada wenye mvuto wa pekee ni vigumu kupata wanaume?!
Hongera Dadaa!Siko kokote kaka.
Ikawaje!?Beauty queen safi, mi nshakuwaga na demu mkali sana na nilikuwa nainjoy tu maisha bila stress. Hana makundi first anajiamini plus plus akiwa na mimi tu. Hatoi room kwa mtu yeyote baki in or out of my presence kumtongoza and very good at ignoring attention!
Yaani wewe!Mwanamke mzuri sana ni sawa na shamba la viazi lililoko karibu na shule!
Ikawa ka juzi, utaratibu wa kuachan ulipofika nikamtema.Ikawaje!?
MOTP himself!!If I like something, I go for it.
Nothing is too good to be owned by me, especially when I'm interested!
And still huwa unawadiss kweli wanawake!! Au sio huyo alokuvurugaga?Beauty queen safi, mi nshakuwaga na demu mkali sana na nilikuwa nainjoy tu maisha bila stress. Hana makundi first anajiamini plus plus akiwa na mimi tu. Hatoi room kwa mtu yeyote baki in or out of my presence kumtongoza and very good at ignoring attention!
Ndio, wawavurugeee mpaka akili zikae sawa.Haha, wa kuwasumbua.
We mwanamke wewe!MOTP himself!!
Si nimekukuta huku ukisadifu maudhui nami nikawa sina budu kukupa sifa.We mwanamke wewe!
Acha kunisingizia dhambi kubwa namna hiyo!
Umefika na huku?
Ndio, mnyoosho tu.Hahah!, wajifunze in a hard way...lol
Hakuna mkate mgumu kwenye chai!Inawezekana bwana, ni nyie tu wakaka naona huwa mnaogopa wanawake wenye vyote, sijui kwa sababu zipi.