uzuri ni relative term, hata hivyo kuna wale ambao ni wazuri tu in general.., tunawaona ni wazuri kwa jinsi wao wanavyojiweka. yaani kile kijisehem kizuri kinawekwa katika hali ya ww kukiona. hapo ndo utakuta si wadada wala wakaka watageuka kumwangalia.,
character ya mwanamke ndo itakayomfanya mwanaume atulie naye au la, anachowaza, anachoongea, anavyojiona hivi vitu vinamata zaidi. wewe kila saa unaniambia tu jinsi unavyosifiwa, jinsi ulivyo mzuri unafikiri mi ntafanya vipi? nami ntakusifie nipate nnachokitaka kwa mda huo tu.
wanawake wenyewe pia wanahusika na upotevu huu, kuanzia mashuleni mpaka maofisini, wadada wazuri wanakuwa kama wanatengana na wenzao wale , story zao na mambo yao sasa dooh, hata kama alikuwa hana mawazo ya kijinga anapandikizwa roho ya kutoridhika, anakuwa na mentality flani hivi kuwa kwa uzuri wake she deserves vitu vikubwa sana, she is expensive nk nk, wanaume hili ndo hatulitaki sasa.
kumakuwa na kitu flan hivi, mwanaume akikutana na mwanamke kwa kumwangalia tu hivi anajua huyu anatongozeka au hapana, sasa nikae nawewe wakati ulivyoo kaa kaa upo kusikiliza offer mpya? si nimalize niondoke? wasichana wazuriiiii wale general wapo kusikiliza offer kila siku.
Lingine wanawake wameumbwa kuvutiwa na material things. wengi mtanibishia lakin kuna ukwel hapa, Wakati wanaume wanavutiwa na wanawake. Sasa angalia Mwanaume akipata mawe au nafasi flani hivi anachotamani kuki favor ni mwanamke mzuri, mwanamke mzuri yupo kusikiliza offer hizo.
uvaaji wako, mawazo yako na character yako ni vitakudefine wewe. na ndicho kinachoamua