Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
You can say that again...
Mia....
You can say that again...
Haahaaa..hii kali
Unamaanisha nini?
Unamaanisha nini
Mimba 1 baba wanne
Kama mtu ni malaya atabaki kuwa malaya tu hata ukiuliza hilo swali utapandanishwa tu kwani una kipimo cha kupima kuwa huyu anaongea ukweli au uongo?
Kipimo kipo
Hongera...
Hongera Bar.
Imefanyaje?
Sidhani kama ningesubiri umalize best,ndefu mno!!!
Ungefika hapo penye blue tu mie ningeanza safari maana kama huwezi kusema unaweza anza kulia nami uchuro sitaki!!!!