Tongoza kistaarabu

Tongoza kistaarabu

Kila mtu ana style tofauti ya kutongoza, nna siyo lazima uanze mashairi ili mtu ajue unamseduce, wengine hata kuongea hatuongei. Hivi ni lazima kuimbisha kwani???
 
Wakati mwingine yy mwenyewe anakwambia mapemaa 'taken' akiona unaelekea huko,, inabd uwe mpole, girls are difficult to understand..
 
Hahaha. Kutongoza is an art. Na katika art kuna levels mbalimbali, kuna street art na hadi professional na celebrity art. Muhimu angalia level yako, usije kuparamia mwamba ukaanza kutoa povu

Mimi Ni street artist, vipi level yako manake nisije toa povu buree!!!!
 
Mimi huwa namshangaa mtu anayetaka kutongoza anaanza kwa kuuliza kama una boyfriend.....inakuhusu nini? We mwaga sera binti ndo anajua.....jibu utalipata ktk kukataliwa au kukubaliwa...
Hii nimeipenda sana mkuu na ndivo inavotakiwa!!!!
 
Baada ya kusema maneno haya me ache afanye maamuzi meenyewe. Usitake kulazimisha bwana.

I"'m sorry cath..do u have a boyfriend?
Cath..yea i do
Mmmh..really?
Cath...yes of course
OK don't bother..i love u too but because u have a boyfriend, i think I'm late but i cant force u. I would like to have a chance to u. My instinct always assures my love to u. If u don't have a boyfriend I'm here for u and also if ur not satisfied with the way ur boyfriend treats u, please give a chance. I'm sure that my emotions feelings to not deceive me. I can really handle ur love. May u please consider my request. Thanks for ur time."
frankly nina muda mrefu kweli sijatongoza...im beggining to lose confidence kwenye mitongozo, sometimes i do ask myself what if im in a situation where i find myself with a girl...what will i say that will ring a bell in her?
I think i should start now to practice and updating my files nisije nikakutana na kitu cha ukweli chenye label "cant afford to loose me" halafu nikashindwa! Anybody with new wont-say-it-two-times-words to start with?
 
Bora hio tongozo,,,, jamani kuna watu hawajui kutongoza unaweza kutamani kulia
 
Hapa nikosoma upepo kwanza unaemtongoza ni street girl at prof'nal au just mwonekano wake na action zake.Mfano kwa baa men we jaza pochitu mpe chipusi kuku,mpe bia mpe nyama choma kisha mwambie nataka leo nikakulemo humo kiunoni mwako.Hakuna swali tofauti na utanipa shiling ngapi?
 
mi nishangaa hayo mapenzi yenu mpaka mwanaume anshawish wanamke amini nawaambieni mapenz ya kwel na ya dhati huja tu c mpaka umwongopee yoote hayo haijawahi tokea tu unajikuta kwenye mpnz na msichana tu
 
mi nishangaa hayo mapenzi yenu mpaka mwanaume anshawish wanamke amini nawaambieni mapenz ya kwel na ya dhati huja tu c mpaka umwongopee yoote hayo haijawahi tokea tu unajikuta kwenye mpnz na msichana tu

Yanakujaje kama hakuna ushawishi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom