Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,397
- 64,623
Nimejaribu kutafakari kwa kina, kwa mwaka huu unavyoisha; nikagundua kuna majukumu makubwa yatanikuta huko mbeleni.
Majukumu yenyewe ni kwenye kulea, kusomesha, na kuhakikisha huo uzao wangu una maisha mazuri huko mbeleni.
Mbaya zaidi niliotengeneza nao familia, hawajui kupikia mkaa wala kuni; ni watu wa kusafisha kucha, kununua mawigi, kuangalia nguo zipi zipo kwenye fasheni n.k
Na mimi kilichonipelekea kutengeneza nao familia, ni kutokana na shepu na uzuri walionao.
Kwa mwaka huu tunaufunga wakiwepo warembo machachari watatu, ambao mwakani watatuletea wapiga kura.
Idadi ya vijana kuanzia equation x jnr 1 - n itaweza kufikia timu mbili za mpira.
Kwa kuwa sisi member wa jf sio wachoyo na nimeamua kuwawakilisha katika hii tasnia ya 'nendeni duniani mkazae na muongezeke' , nimeamua kuja na wazo la tone tone.
Ambalo litasomeka, tone tone na equation x; ambapo wote mtachangia kwa jfpesa, ili uzao wangu niupeleke huko ng'ambo kuelimika na uje kuwatawala.
Nakaribisha ahadi zenu.