Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
kweli mkuu nakubali hata mimi, laki sita unapata simu kali tu mbonaPesa sina ila najua kwa bei ya hiyohiyo simu naweza kupata aina nyingine ya simu ikawa bora zaidi.
Kuna watu wanauziwa tecno laki 6 hapo unajiuliza huyu mtu ana akili kweli ikiwa kwa hiyo hela anaweza pata simu kali sana.