Toleo la Pop 7 linapatikana sasa nchi nzima

Sijawahi kutumia smartphone ya tecno lakini simu yoyote inayotumia chipset ya mediatek siwezi kutumia. Simu unanunua laki 6 baada ya miezi 6 inaanza maruperupe, ili hali unanunua simu kwa gharama hiyo hiyo ama zaidi kidgo inakaa more than 2yrs without any misfunction.
 
Vipi kuhusu snapdragon?
 
Nilikua nataka kutetea ila hiyo mitambo yao itakuja kutulipukia tununue simu za maana techo wakaziuze Ukraine kwenye vita

Simu OS haiupdate wala nini? Kwanya software mbovuuu hardware mnajitaidi ila ukiweka sura ya jilani face unlock inafunguka mara uweke dole lisisens

Acheni kuuza simu mwende mkachimbe viazi kampuni bovu neverseen hawajifunzi hata kwa wenzao huwez kaa nasimu ina software ya zamani
 
Pesa sina ila najua kwa bei ya hiyohiyo simu naweza kupata aina nyingine ya simu ikawa bora zaidi.

Kuna watu wanauziwa tecno laki 6 hapo unajiuliza huyu mtu ana akili kweli ikiwa kwa hiyo hela anaweza pata simu kali sana.
Unaongea ukweli mchungu sana!! Wabongo wengi ni wajinga sana
 
Sifa zake..
  • Snapdragon SoCs offer better battery optimisation which translates to longer battery life compared to their MediaTek counterparts.
  • Snapdragon SoCs are also favoured in flagship gaming-oriented handsets since they do not generate a lot of heat. However, MediaTek is largely popular in midrange gaming smartphones.
  • MediaTek does not share the Kernel source code for most of its SoCs, which is why Snapdragon is usually a developer’s first choice.
  • Snapdragon has its own in-house GPU, Adreno.
  • Snapdragon SoCs regularly outperform their MediaTek counterparts in various benchmark tests.
  • Snapdragon SoCs are pricier than MediaTek
Nimeona haina haja ya kuanza kuandika vitu ambavyo vilishazungumzwa mkuu, kama kuna sehemu utakuwa hujaelewa utanijuza
 
Safi umeelezea kitaalamu
 
Sijawahi kutumia smartphone ya tecno lakini simu yoyote inayotumia chipset ya mediatek siwezi kutumia. Simu unanunua laki 6 baada ya miezi 6 inaanza maruperupe, ili hali unanunua simu kwa gharama hiyo hiyo ama zaidi kidgo inakaa more than 2yrs without any misfunction.
Mbona izo mediatec zinatumika kwenye Brand nyingi tuu kubwa kama Samsung,HTC Mi nk[emoji58]
 
Back
Top Bottom