Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,367
- 2,800
Kama wewe mpenzi wa Games basi hii Tablet ni balaa π§βπ» HONOR imekuja na mashine ya gaming inayoweza kuwafanya gamers wengi kutamani kuimiliki! π
Kwenye HONOR WIN TABLET kilichopo ndani yake:
π₯ Snapdragon 8 Elite Gen 5 β nguvu kubwa kwa gaming na multitasking.
βοΈ Feni ya ndani ya 15,000 RPM Turbo β kusaidia kudhibiti joto wakati wa kucheza wa gaming nzito.
π Betri la 10,000mAh β kwa matumizi marefu zaidi na Chaji ya haraka ya 66W nayo ipo!.
β‘ OLED yenye refresh rate ya hadi 240Hz β mwonekano laini katika michezo inayoiunga mkono.
π° Bei ya kuanzia nchini China: Β₯4,499 kwa toleo la 12GB RAM + 256GB storage.
π₯ Hii si tablet ya kawaida, ni kifaa kilicholenga gamers wanaotaka nguvu, kasi na cooling system
ya ndani!