katika kujenga nyumba ni vema uanze na msingi wa mawe then waweza kumalizia na matofali ya tope na nyumba yaweza kudumu mda mrefu sana, hivyo huwezi ukaanza na tope na kumalizia na mawe.Wewe kama amekutuma mwambie afanye yote anayofanya lakini ahakikishe mzunguko wa fedha aliouua ameurekebisha na hela zipatikane mtaani, vinginevyo hamna anayemuelewa.
Kwako Rais wetu Mpendwa Rais wa wanyonge John Pombe Magufuli tupia jicho wilaya ya kigamboni kata ya Mwasonga kuna Madini yamegundulika kwenye maeneo yetu mwekezaji yupo tayari muda wowote kuwalipa wananchi wenye maeneo yao lakini bado anazungushwa na wasaidizi wako hatujui tatizo ni nn?

Madini gani hayo?[/QUOTE
Ni madini ya kusafirisha mionzi ya simu na tv, maeneo ya Mwasonga
Acha tamaa ya pesa kwani si muda mtaanza kumpigia magoti JPM mkidanganya kuwa hamjalipwa au mmelipwa kidogo
Madini yoyote ni mali ya serikali, kama yamegundulika sidhani kama huyo mzungu anaweza yachimba pasipo vibali vya serikali..
Soma vizuri hapo juu thread yangu nimeeleza...
Mwekezaji hadi kibali kashapewa kutoka Wizara ya Nishati na Madini!
Mkuu thread yako inasomeka hivi, hakuna neno kibali...Soma vizuri hapo juu thread yangu nimeeleza...
Mwekezaji hadi kibali kashapewa kutoka Wizara ya Nishati na Madini!
Kwako Rais wetu Mpendwa Rais wa wanyonge John Pombe Magufuli tupia jicho wilaya ya kigamboni kata ya Mwasonga kuna Madini yamegundulika kwenye maeneo yetu mwekezaji yupo tayari muda wowote kuwalipa wananchi wenye maeneo yao lakini bado anazungushwa na wasaidizi wako hatujui tatizo ni nn?
Mkuu thread yako inasomeka hivi, hakuna neno kibali...
Anyway bila shaka JPM atasoma mambo uliyomuandikia hapa