Am focused
Member
- Jun 13, 2021
- 46
- 181
Unatumia nini kufikiri? Kataa utumwa na ushamba kichwani mwakoHuyu mama anapiga PRESS release za Kizungu kwa ajili ya International audience. Hiki kinaweza onekana ni kitu kidogo ila ni kikubwa.
Nadra sana kwa Wasemaji wa taasisi ya Urais walopita kuchapa PRESS RELEASE ya umombo kama hivi.
HONGERA SANA DADA ZU. Wamama mnaweza sana.
View attachment 2116525View attachment 2116526