Hayo mabadiliko ya lugha ndiyo mwafaka au? Tatizo bado hujajitambua!Mbona siku zote walkua hawafanyi kama Sasa. Tukubali Zuhra ameleta mabadiliko na ni muhimu anavyofanya press release pia Kwa lugha ya kingereza Ili dunia ijue misimamo ya Tanzania. Kuna mahali niliona Instagram kwenye page ya ikulu mawasiliano waliandika mpaka kifaransa