Tofauti ya Zuhura Yunis na Wakurugenzi wa Mawasiliano ya Rais waliomtangulia

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Huyu mama anapiga PRESS release za Kizungu kwa ajili ya International audience. Hiki kinaweza onekana ni kitu kidogo ila ni kikubwa.

Nadra sana kwa Wasemaji wa taasisi ya Urais walopita kuchapa PRESS RELEASE ya umombo kama hivi.

HONGERA SANA DADA ZU. Wamama mnaweza sana.
20220211_225655.jpg
20220211_225659.jpg
 
Huyu mama anapiga PRESS release za Kizungu kwa ajili ya International audience. Hiki kinaweza onekana ni kitu kidogo ila ni kikubwa.

Nadra sana kwa Wasemaji wa taasisi ya Urais walopita kuchapa PRESS RELEASE ya umombo kama hivi.

HONGERA SANA DADA ZU. Wamama mnaweza sana. View attachment 2116525View attachment 2116526
Kwani Press release huwa anaandikiwa nani? Anaetaka kupotosha ataposha tu bila kujali imendikwa kwa Kingereza ama kwa Kiswahili
 
Huyu mama anapiga PRESS release za Kizungu kwa ajili ya International audience. Hiki kinaweza onekana ni kitu kidogo ila ni kikubwa.

Nadra sana kwa Wasemaji wa taasisi ya Urais walopita kuchapa PRESS RELEASE ya umombo kama hivi.

HONGERA SANA DADA ZU. Wamama mnaweza sana. View attachment 2116525View attachment 2116526
Acha kukomplicate maisha kwenye hyo idara lazma kuna MTU anayejua kimombo, Kazi yake ni kisign na kuipitia.. sasa mkurugenzi mzima kila kitu aandike yeye. Ile ni ofisi.. hata ukataka press iAndikwe kiarabu itaandikwa ova
 
Wafia Kiswahili wako wapi

Hii nchi iwe ya Kizungu tu, kiswahili kinanyima fursa
 
Acha kukomplicate maisha kwenye hyo idara lazma kuna MTU anayejua kimombo, Kazi yake ni kisign na kuipitia.. sasa mkurugenzi mzima kila kitu aandike yeye. Ile ni ofisi.. hata ukataka press iAndikwe kiarabu itaandikwa ova
Hata kama, zuhura Ndo ana edit na kuipitisha. Hakuna komplikeshen yoyote. Kurugenz ya mawasiliano Ikulu imepata mtu sahihi
 
Huyu mama anapiga PRESS release za Kizungu kwa ajili ya International audience. Hiki kinaweza onekana ni kitu kidogo ila ni kikubwa.

Nadra sana kwa Wasemaji wa taasisi ya Urais walopita kuchapa PRESS RELEASE ya umombo kama hivi.

HONGERA SANA DADA ZU. Wamama mnaweza sana.
View attachment 2116525View attachment 2116526
Bado ni yaleyale,itatakiwa isomeke taarifa kwa umma na siyo vyombo vya Habari.
 
Release huwa inaenda kwa Press ambao ndio Kiwanda cha kuichakata hiyo taarifa kabla ya umma coiconsume...hiyo siyo public notice
 
Back
Top Bottom