Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.
Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli
Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake
Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.
Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kuchafuka na kuichafua nchi yetu kimataifa kama huyu fazafaka!Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.
Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli
Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake
Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.
Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Hivi una Akili timamu kabisa?Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.
Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli
Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake
Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.
Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Satan "himself" in "his" flesh.Anasifiwa kama Rais mwanamke aliyefanikiwa kuzuia mapinduzi. Ndiyo maana marais wanamiminika kuja tz
Uko sahihiRais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.
Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli
Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake
Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.
Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Mnapompata Rais ambae alikuwa sungusungu wakati fulani kwenye kabila lake utaona mabavu na mitulinga ya uongozi, unapokuwa na Rais ambae anatoka kwenye jamii ambayo wanakatana mapanga kama njia ya kutatua migogoro wananchi watakutana na kitu kibaya sana kwa RAIS wao huyo. Unapokuwa na Rais ambae anatoka kabila ambalo wanawake wananyimwa uridhi tegemeeni hali mbaya ya uvunjivu wa haki za wanawake.Ameua watoto ambao walitolewa kafara na chadema.
i kiongozi jasiriRais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.
Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.
Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli
Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake
Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.
Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Ng’ombe wa mama, hatutarajii kuona ng’ombe ambaye ni smarter kuliko mfugaji wake!Anasifiwa kama Rais mwanamke aliyefanikiwa kuzuia mapinduzi. Ndiyo maana marais wanamiminika kuja tz
Kuna watu walidhani Rais Samia ni uchochoro wao wa kwenda msalani, hawakuamini macho na masikio yao. Walizoea marais wanaovaa suruali na kufokafoka kama vifutu, wakahadaiwa na magauni na lipstick wakasahau ukubwa wa Katiba na mamlaka ya Rais..kuna watoto waliouwawa Oct 29.
..Ssh ndio Rais wa kwanza wa Tz kusababisha vifo vya watoto.
kilaza eeeh,umeona maendeleo anayoleta? wewe kuna kitu gani unajua?Jambo moja la uhakika kuhusu huyu mama, ni rais kilazaa zaidi kupata kutokea ktk taifa letu!
Form four failure, imagine hajui hata exchange rate ya pesa maarufu zaidi duniani; US dola!!.
Hii ni maajabu!
Miradi gani anayo zaidi ya kudandia ile ya mtangulizi wake?!.kilaza eeeh,umeona maendeleo anayoleta? wewe kuna kitu gani unajua?
Porojo hizo, kama chadema imechoma uchumi wetu, inahamasisha nchi ikose misaada na mikopo, inahamasisha vurugu zinazosababisha uzalishaji viwandani usimame, watalii na wawekezaji wasije unatarajia nini?Miradi gani anayo zaidi ya kudandia ile ya mtangulizi wake?!.
Huyu daima atabaki kuwa THE WORST EVER...haishangazi watz wengi waligoma kutoka kwenda kumpigia kura oktoba 29!.
Chini ya huyu huyu mama nchi yetu kwa mara ya kwanza imetoka kwenye top ten ya nchi zenye uchumi mkubwa Afrika...tulikuwa tunacheza no 7 hadi 8, leo tupo no 12 tumepitwa hadi na DRC!.
Inaonekana SSH anao uwezo wa kuongea na marais wake, uwezo wa kujishusha na kuwa katika ngazi moja ya kibinadamu na yule anayeongea nae.Porojo hizo, kama chadema imechoma uchumi wetu, inahamasisha nchi ikose misaada na mikopo, inahamasisha vurugu zinazosababisha uzalishaji viwandani usimame, watalii na wawekezaji wasije unatarajia nini?
Hata hivyo huyu mama ni shupavu sana na mwenye akili nyingi. Unaweza kuwa professor lakini wa hovyo tu. Mbunge Kasheku Musukuma ni darasa la saba tu lakini anafanya makubwa jimboni kwake na kwenye mambo yake binafsi kushisha maprofesa.
Huyu mama kwanza anaaminika kimataifa. Anaweza kuijenga nchi hii kupitia nchi za Magharibi, Mashariki kama Urusi, Uarabuni, Uchina, Asia ya Japan, Korea, singapore au Amerika. Zanzibar inaaminika kimataifa kuliko Tanganyika ya wachunga ng'ombe wa kienyeji (primitive). Kama ukienda kumzibia misaada huku atatokea kule. Hakuna Rais aliyepita mwenye uwezo huo. Vurugu hizi kama zingemtokea Magufuli hali yetu ingeshakuwa mbaya sana.
Hebu ona wamefanya vurugu za kila aina hapa na kutaka kumchafua Samia, lakini Marais wanamiminika kuja Tz kuingia mikataba ya ushirikiano. Juzi nchi Norway imesaini kutoa misaada lukuki, Marekani hivyohivyo, Misri, Kenya, Namibia, Singapore, Russia,.....
Jidanganyeni wajinga nyie.
Ni wazi huna taarifa za uhakika bali ni chuki yako binafsi kwake,na kwa mtu kama wewe ni ngumu kukuelezea ukaelewa,hata hivyo hivi unajua ni wanafunzi wangapi wanapewa mikopo kusoma vyuo vikuu? Unajua ni kiasi gani cha pesa hicho?Hakuna Rais yoyote aliyepita ana rekodinya kutoa fedha nyingi kama Samia,ama eti ni miradi ya mtangulizi wake,je fedha za kulipia miradi hiyo ameleta mtangulizi wake?Hivi unatembea nchini uone hospitali na shule alizojenga?Tuache kumchukua mtu bilashiMiradi gani anayo zaidi ya kudandia ile ya mtangulizi wake?!.