hahahaha jaribu kuingia kanisa la wa Adventist wasabato afu jaribu Ku search mahubili ya pastor david bwaga yatakupa faraja San mkuuNtakuja mkuu, nialike nije kanisa gani maana siku hizi mtu hata hujui uende wapi
Naunga mkono hoja yako mkuu kwenye Biblia kitabu kile cha Mhubiri kimeeleza na pia kimetuambia tukiwa hai tufanye lolote mkono utakalopata lifanye kwa nguvu zako zote maana huko kuzimu hamna kazi wala shauri.. Mhubiri 9.5 - 10Wafu hawajui kitu na wala hawana utambuzi juu ya ufu wao
Kuzimu ni mahali pa wote ,wema na wabaya....ndio maana hata Yesu Kristo alikufa kisha akashuka kuzimu...
Sawa lakini kuzimu bado sio jehanum...na kimsingi alitimiza unabii kuwa kuzimu kunaweza kutoteka na kwenye kituo cha wasubirio mashauri yao siku ya kiamaMshana Jr, kwa kumbukumbu zangu ni kwamba sababu ya yesu kushuka kuzimu ni kwenda kuchukua funguo za kuzimu.
Sawa lakini kuzimu bado sio jehanum...na kimsingi alitimiza unabii kuwa kuzimu kunaweza kutoteka na kwenye kituo cha wasubirio mashauri yao siku ya kiama
Ni kweli kabisa wanaishia tu getini na kuchungulia ndani...hawaingii huko...hata wale manabii na mitume wanaojifanya wamefika huko ni geresha tuuNi kweli kuzimu sio jehamu. vp lakini naona kuna story nyingi kwamba wachawi huwa wanaenda kuzimuni na hata kuwaatambua watu waliokuwa kule, japo hawaingii huko, eti wanakaa kama mpakani sasa sijui2haya madai yao yana ukweli kiasi gani.
Ohoo [emoji124][emoji124][emoji124]Kabla ya kukujibu je shetani ninani ?
Time is relativeInakuwaje wafu waliokufa zamani sana zaidi ya miaka elf5 iliyopita??
Je sie tunaokufa leo au kesho kiuhalisia hatuwez kufanana nao...
Je hii inapimwaje walioishi kuzimu miaka kenda na tulioenda kuzimu leo hakuna huruma hapo
Nimeishia kucheka sanaKuna watu bado hawaamini kwamba ukitoka hapa duniani ndio umetoka mazima hutakuja kurudi tena
Ufafanuzi kidogo mkuuYeah its an energy
LuciferKabla ya kukujibu je shetani ninani ?