Tofauti ya Dini katika mapenzi

Tofauti ya Dini katika mapenzi

Sasa Mimi Dini yangu naiachaje..yaani tuanze kiamini jua au mwezi. Hapana.. NATAKA imani yangu kwa Mungu ikue Sana...Ni jambo naloliomba..naona kuwa naye..itafifisha imani yangu.
Kama kweli wampenda Mungu basi acha UZINZI mtafute Mungu.

Kama haupo tayari jiandae mapenzi kukufunga kamba utakazo shindwa toka hapo baadae. Na kama utaweza kutoka basi vidonda lazima(kiroho na kihisia).
 
Asante...Mama yangu Ni Dini tofauti na baba yangu.. alitusisitiza Sana tutafute wadini zetu... Mimi sikua nimemsikiliza kwa muda mrefu...SAIV nimeamua TU Mimi mwenyewe.
Bahatimbaya mama mkwe alisahau kwamba sio kila kilicho mfurahisha ama kumkwaza yeye, basi ilikua lazima nawewe ufanane nae.... NO
Na kwenye maisha wewe ndie unaapswa kuamua kufuata kile kinachokupa furaha na amani ya moyo, ila tu usimkwaze ama kumchukiza mwingine.
Mkuu, mapenzi ni sehemu ya maisha hivyo nakushauri uangalie na ushikilie sana pale unapoona pana upendo wa dhati.
Dini ni tamaduni/imani ambazo tuliletewa na kurithushwa na walio tutangulia.
 
Changamoto ipo katika kujua hili na kuamua juu ya hili.
 
Mkuu....
Kuna baadhi ya mambo hua hayahitaji kushauriwa (kwa uzoefu wangu), maana unaweza sikuzote matokeo na changamoto za ndoa hua hakuna ajuae zitakujaje.
Wanaweza waka oana wenye dini tofauti na wakajijuta wanaishi kwa furaha na amani tele bila tashwishwi, lakini pia wanaweza wakaoana wa dini moja ila moto wa hiyo ndoa ukama mkali zaidi ya tanuru la makaa
 
Kama kweli wampenda Mungu basi acha UZINZI mtafute Mungu.

Kama haupo tayari jiandae mapenzi kukufunga kamba utakazo shindwa toka hapo baadae. Na kama utaweza kutoka basi vidonda lazima(kiroho na kihisia).
Naamini hakuna hasara katika kumfuata na kumtii mwenyezi Mungu
 
Mjadala ulibidi ufungwe hapa. Kwa vile hukuwa na future nae ungetafuta kikwazo chochote usingizie. Achana nae jamii itasingizia dini huna haja ya kujizuia.
Wakati nakuwa nae sikuona Kama Dini Ni kikwazo Kwani sikuwa nimeamunua kumtii Muumba wangu na kufuata maamrisho na makatazo yake...baada ya kuamua naona hamna future
 
Sasa Mimi Dini yangu naiachaje..yaani tuanze kiamini jua au mwezi. Hapana.. NATAKA imani yangu kwa Mungu ikue Sana...Ni jambo naloliomba..naona kuwa naye..itafifisha imani yangu.
Pole sana Dada..ni wachache sana wanaojitambua kiimani na wakawa tayari kufanya maamuzi kwaajili ya ya imani na sio mapenzi.
Ukikuta mtu kaingia kwenye mapenzi na mtu tofauti na imani yake halafu baadaye anasema kwani Mungu si yuleyule jua huyo ni mtu hatari sana...ingawa anaweza badirika wakati fulani..probably..
Lakini endapo umempata mwenzi tofauti na imani yako na ukatumia muda kwa siri kunifunza na kujua juu ya imani yake na ukaielewa vizuri not hear say (sio perception uliyopandikizwa juu ya hiyo imani noo..but yale uliyojifunza kwa kina na kwa unyenyekevu)..utafanya2 maamuzi sahihi ..ukiamua kumfuata Unamfuata kwa kuwa una hakika bila ya shaka kuwa naenda au nimepata njia sahihi au mwanga fulani kuliko awali.

Na kwa vyovyote vile Utakuja kuipenda mno hiyo imani na kuwa muumini mzuri na mwaminifu zaidi ya uliowakuta sababu tuu umeijua hiyo imani vyema.

Ukitazama hata baadhi ya mabishano ya kiimani katika jamii zetu simply ni kwa sababu wengi hawazijui vizuri imani zao wanazoamini ingawa wao wanaamini kuwa wazijua...na pia hawajui kabisa juu ya imani ya wanayebishana naye zaidi ya kusikia kusikia na kuambiwa negativity ya hiyo imani..na vifungu au viushahidi viwili vitatu vya kuokoteza ili kuhalalisha anachokipinga dhidi ya imani nyingine.

Kama watu wengi wangekuwa na tamaduni za kujifunza imani za wengine kama njia ya kuongeza Elimu tuu...religious knowledge..Duniani tungeishi kwa upendo na kuheshimiana sana sana.

Hata kama baada ya kujifunza hizo imani kwa kina za wenzetu na kuona kuna mapungufu basi namna ya kusaidiana na kuelimishana Ingekuwa ni ya upendo mno mno wala dharau..kiburi..jeuri..majigambo visingekuwepo bali hekima na akili ingetawala na busara kuamua kwa adili kila tuzungumziapo mambo ya imani na wale tunaotofautiana nao.

Kwa sababu wengi wetu mbali ya kwamba tumejifunza sana labda mpaka tukakielewa tunachokiamini na kuwa ndio sahihi kuliko anachoamini mwingine...
Lakini ukweli unabaki pale pale..unaamini katika Dini yako kwa sababu za kijiografia tuu..ungezaliwa kule lazima ungejikuwa wewe ni muislam..au ungezaliwa kule automatically ungekuwa mkristo no matter what au umejifunza dini yako kiasi gani.

So why malumbano ya Din I????
Nakushauri uamue juu ya imani yako au yake kwa kuwa umejifunza zote mbili..nyingine kwa kuzaliwa automatically ukaijua kupitia malezi na nyingine kupitia incidence ya mahusiano au ulishaijua vyema kabla.sio kwa kusikia kupitia dini yako ilivyokufunza hapana bali uliijua wewe mwenyewe kwa kunifunza juu yake.

Muoane au msioane bado mtaheshimiana..kuliko kikwazo cha dini kikamfanya mmojawapo adharau hata imani nyingine zote kupitia malumbano yenu yaliyosababishwa na mapenzi.

Wote wawili mlikua hamzijui kabisa kabisa hizo imani zenu mnazoziamini ndio maana mliamua mkiwa na akili timamu kuwa uzinzi ndio jambo la kwanza kwenu...halafu unasema kupitia uzinzi ndipo mapenzi yakachanua mpaka kuanza kuhisi au kuamua juu ya nia ya kuishi kama wanandoa..ni ajabu sana sana.

Huu msimamo wa kiimani mlio nao ungeanza kabla hata hamjaanza mahusiano yeyote..mmeshatiana mihuri isiyofutika mioyoni na rohoni mwenu eti ndio mnashtuka leo.

Kama tunazo imani na tunaziamini kweli na tupo tayari hata kufa kwaajili4 hiyo ziwe zinatufanya tuamue mapema na kwa wakati sio baada ya dhambi..

Best wish katika safari yako ya kumpata mwenzi wa maisha...
Samahani samahani mniwie radhi kwa lecture ndefu tena isiyo na maana..

Nawaombeni radhi nyote mliokwazwa nami...
 
Mapenzi Ni mazuri Sana, unakutana na mtu mnapendana unaona kabisa yaani penzi Lina flow bila hata nguvu ya ziada.
Lakini tatizo Dini. Unaona kabisa Dini Ni kikwazo, Mimi katu Siwezi badili Dini yangu. Mwenzangu analazimisha nibadili...

Naona penzi langu tamu,zuri na maridhawa linakaribia mwisho. Inasikitisha Sana. Swali nimeulizwa, kwanini uliacha penzi lichipue namna hi Kama ulijua tangu mwanzo kuwa halina future. Jibu ninalo ila kapuni.
Umesahau Kabila.

Kuna Kabila la Wamasai wao wanataka waoane wao kwa wao...

Kuna hawa wanajiita Wanyarwanda nao huleta ukabila kwenye Mapenzi
 
Nipe mie shost
 
"Religious sympathy" sio tiba katika suala hili.

Miiko ya kidini tangu awali inazuia kuoa au kuolewa na mtu asie wa dini yako! (Hii ni kwa pande zote; Wakristo na Waislam)

NI LAZIMA MMOJA AMFUATE MWENZAKE.
 
Asante nimekuelewa
 
Umesahau Kabila.

Kuna Kabila la Wamasai wao wanataka waoane wao kwa wao...

Kuna hawa wanajiita Wanyarwanda nao huleta ukabila kwenye Mapenzi
Kabila sio kikwazo,..
 
Mapenzi Ni mazuri Sana, unakutana na mtu mnapendana unaona kabisa yaani penzi Lina flow bila hata nguvu ya ziada.
Lakini tatizo Dini. Unaona kabisa Dini Ni kikwazo, Mimi katu Siwezi badili Dini yangu. Mwenzangu analazimisha nibadili...

Naona penzi langu tamu,zuri na maridhawa linakaribia mwisho. Inasikitisha Sana. Swali nimeulizwa, kwanini uliacha penzi lichipue namna hi Kama ulijua tangu mwanzo kuwa halina future. Jibu ninalo ila kapuni.
Tunapoanzisha familia haiwi tu kwa ajili yetu cc wawili, bali tunafikiria pia watoto ambao ndio lengo kuu la ndoa kama sio wabinafsi. Kuishi na mtu kwenye imani tofauti huwa ni shida sana kwa baadae, though inaweza isiwe kwa wahusika bali kizazi chenu! Nilikuwa na mwanamke aliekua na kila sifa ambayo nlihitaji ila tuliachana kwa wema kabisa kila mtu akaolewa/kuoa mtu wa imani yake! Dini kama ni mfuasi wake, ndio kigezo cha kwanza kuchagua na kuishi na mwenza maishani!

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
 
Naamini Mungu mmoja na Muhammad ndio mtume wake.
Yaani hapa ni tatizo, kiimani wewe huendi kuzika mumeo ndiyo atakuwakilisha, kule makaburini. Sasa utakosa kumzika baba yako na mama yako.
Hili swala lilinisumbua Sana pole Sana Sana sana.
 
Kwaiyo unamaanisha nibadili Dini..ili mzazi wangu akifa nikashuhudie akiingizwa kaburini?... What's your point exactly?
 
Hongera. Mwenzangu alitoa wazo. Kama kweli tunapendana, basi tujitoe mhanga wote dini tuache.

Kwa experience yangu naamini inawezekana.

Lakini itabidi mkae chini mchore mistari na kanuni wapi misimamo ya dini inaingiliana, wapi ishikwe na wapi ilegee.
Mlivyoamua kuacha Dini... Watoto mtawalea kwa misingi ipi?
 
Back
Top Bottom