Tofauti ya Dini katika mapenzi

Tofauti ya Dini katika mapenzi

Mapenzi Ni mazuri Sana, unakutana na mtu mnapendana unaona kabisa yaani penzi Lina flow bila hata nguvu ya ziada.
Lakini tatizo Dini. Unaona kabisa Dini Ni kikwazo, Mimi katu Siwezi badili Dini yangu. Mwenzangu analazimisha nibadili...

Naona penzi langu tamu,zuri na maridhawa linakaribia mwisho. Inasikitisha Sana. Swali nimeulizwa, kwanini uliacha penzi lichipue namna hi Kama ulijua tangu mwanzo kuwa halina future. Jibu ninalo ila kapuni.
Pole sana
 
Pole sana
Asante...Mama yangu Ni Dini tofauti na baba yangu.. alitusisitiza Sana tutafute wadini zetu... Mimi sikua nimemsikiliza kwa muda mrefu...SAIV nimeamua TU Mimi mwenyewe.
 
mwanamke hana dini kamwe ufata dini ya mumewe angalizo siku hazigandi dada tafakali
Nikweli siku hazigandi lakini..tunatakiwa tufanye maamuzi yatakayo kuwa na manufaa kwetu... Muda sio kigezo pekee Cha kufanya maamuzi
 
Mtaweza vipi kuwa kitu kimoja kama huwezi kukubaliana na tofauti zenu?

Hili suala nina experience nalo...mwanzo alikua ananiuliza sana napuuza. Mwisho yakatukuta, mtavutana ila yakifika kwa wazazi mtagonga ukuta.
Mimi wazazi wangu wahana shida au niseme Mama ambae yupo hai.. Ila Mimi mwenyewe Nafsi inakataa kuwa na mahusiano haya.japo nampenda Sana.. Ila Kila siku upendo unapungua kwasababu ya dini
 
kama ndio ivyo jitaidi umpate wa dini yako mana usije ukaja kujuta uko mbeleni
Naona Kama utafauti wetu wadini utakuja kuwa tatizo. Kila siku nawaza namna ya kumwambia tuachane..nashindwa. naacha TU kupokea Simu na sms sijibu..labda atajiongeza
 
Jibu ni kwamba you wanted to have fun, hukujua kama penzi litachipua kwa sababu hukuwa na future na mwana.
Wala hujakosea... Sikujua kwamba this love will blossom to something so beautiful. Ila ukweli Sina FUTURE NAE
 
Naona Kama utafauti wetu wadini utakuja kuwa tatizo. Kila siku nawaza namna ya kumwambia tuachane..nashindwa. naacha TU kupokea Simu na sms sijibu..labda atajiongeza
ukitaka kuua mausiano unaweza unaweza toka ukaenda mbali nae walau kwa mda Fulani utaweza kumkataa ila ata kuacha kumtafuta inaweza ikawa njia ya kupunguza ukaribu
 
ukitaka kuua mausiano unaweza unaweza toka ukaenda mbali nae walau kwa mda Fulani utaweza kumkataa ila ata kuacha kumtafuta inaweza ikawa njia ya kupunguza ukaribu
Thanks...ntatafuta namna
 
Mimi wazazi wangu wahana shida au niseme Mama ambae yupo hai.. Ila Mimi mwenyewe Nafsi inakataa kuwa na mahusiano haya.japo nampenda Sana.. Ila Kila siku upendo unapungua kwasababu ya dini
Hongera. Mwenzangu alitoa wazo. Kama kweli tunapendana, basi tujitoe mhanga wote dini tuache.

Kwa experience yangu naamini inawezekana.

Lakini itabidi mkae chini mchore mistari na kanuni wapi misimamo ya dini inaingiliana, wapi ishikwe na wapi ilegee.
 
Sasa Mimi Dini yangu naiachaje..yaani tuanze kiamini jua au mwezi. Hapana.. NATAKA imani yangu kwa Mungu ikue Sana...Ni jambo naloliomba..naona kuwa naye..itafifisha imani yangu.
 
Mahakamani mbona simpo tu!

Tena mkimaliza kufunga ndoa mnatoka nje pale mnakula mihogo na kachumbari then haooo mnapanda bajaj wote wanne bajaj moja mnatosha kabisa
Simple kweli kweli, ila subiri mzae ndio utauona huo usimple kuwa ni complex
 
Back
Top Bottom