tofauti ya bb na nokia e 73 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tofauti ya bb na nokia e 73

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Voice of Wisdom, Mar 20, 2012.

 1. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  poleni na majukumu wadai wa jamiiforums na wanatekohama. ningependa kujuzwa kuna tofauti gani kati ya blackberry na nokia E73
  nawaasilihsa
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Haujasema BB ipi ila nadhani utakuwa unamaanisha zinazofanana nayo shape kidogo. Karibia kila kitu ni tofauti zinafanana muundo tu. Operating System tofauti, apps tofauti, performance tofauti etc.
   
 3. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  asante kwa utangulizi. ningefurahi kujua zaidi kuhusu
  1. ubora zinatofutiana vip? kwa mfano kasi ya kuload, uwezo wa kutunza chaji, life span(ipi inadumu zaidi ya nyingine) operating system na general performance
  2. upatikanaji wa vifaa(accessories zake)
  3. sifa nyinginezo za bbm bold /nokia E73 ambazo zinaifanya iwe bora zaidi ya ingine
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Kwa network speed n73 ni bora kuliko bb nyingi kwani ina 3g na bb bold nyingi hazina 3g

  Software kimaana messengers na zinazofanania nazo bb ipo juu ila black market n73 ipo juu maana unaweza kuhack na kuinstall unsigned software

  kifashion na muonekano bb inapendwa na ipo kwenye fashion wakati n73 ni old model

  Kiofisi bb nadhan pia ipo juu ina qwerty keyboard(a hadi z zipo separated) na office software za doc,ppt,pfd n.k wakati n73 ina keyboard ya kawaida na software zake ni za kununa hadi ziwe cracked ndo bure (n series unalipia e series ni bure office software - kwa nokia)

  Multmedia yani music video picha na vifananiavo n73 ipo juu maana ina sauti kama ya kichina ina video player inayo edit (inakuja na simu) image editor (inakuja na simu)bb bado kidogo

  Uhuru wa kutumia simu yako n73 ipo juu huhitaji kununua net ya mwez wala huulizwi ukifanya chochote kwenye simu yako, bb wao wanabana sana kwenye simu zao mpaka ulipie kwa mwez, mfano bbm ipo kwenye simu yako lakini hutumii hadi ulipie

  Labda tu kufunga nitoe ushauri kama unapenda chezea simu, mtundu mtundu wa net unataka simu ya kujifunzia hutajuta ikiharibika chukua n73, kama unapenda kuchat, unaogopa simu kuharibika hupend virus, mstaarabu take bb
   
 5. M

  Mringo JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Naomba kukuuliza kidogo mkuu..
  mimi nimenunua bb 8520 inaonyesha haina 3G bali ina gprs/edge/2G..
  Je hii 2G inakuaje?? kwa maana ninapotumia inaonyesha GPRS au EDGE na spidi inakua ndogo..
  Pia mimi sijajiunga na plan yeyote like mwezi au wiki..ila nikijaribu ku-browse inafungua ila nikifika kuingiza password kama f/book inagoma au nikijaribu kudownload kitu inagoma..Tatizo liko wapi??
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  2g ipo slow kwa tz ikipanda sana labda 10kbps tena ushukuru bb wana high compresion ya data. Inabidi uvumilie kama bado unaipenda simu yako.

  Kuhusu net waje wataalam mi sifahamu
   
 7. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mkuu, ingawa umejaribu kumjibu, umekosea, kwani jamaa alitaka kujua kuhusu e73 and not n73 kama ulivyojibu. Nway, mi naona e73 ipo juu kwa internet na utilities zingine.
   
 8. tumlack

  tumlack JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 681
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  e73 iz da best! Thn jamaa co n73...
   
 9. tumlack

  tumlack JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 681
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wew mwenye bb. Funga plan ktk cm yko thn download operamin au bolt browser zitakuwezesha kuingia net via crdt yko ktk chip na co data plan tena
   
 10. G

  Ginner JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,138
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Jamani msije kuwa mnafanya tathimini ya E73 na blackberry curve tena zile za miaka ile....me nahisi mtoa uzi ange weka wazi pia anaongelea bold model gani...kuna bold 9000, 9700, 9780 na nyingine zakutosha tu. Zinauwezo wa ajabu kwanzia speed ya net na kila kitu...
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Naamini ingekua ni bb mpya asingefananisha na n73 maana havifananishiki, hio n73 yenyewe ina successor zaid ya 10
   
 12. d

  deedee Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kama una fedha nunua nokia e6 hata hizo bb aina zote hazioni ndani
   
 13. M

  Mringo JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa maelezo yako..
  Baada ya kuweka plan mara ya kwanza naweza kuistall software inayoniwezesha kuchat itumia na kuendelea baada ya plan kuisha yaani kwa credit ya kawaida??
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hakuna chat program itakayofanya kazi bila data plan. Personally ningekushauri kutafuta simu ya Android, usability yake ni way above bb au symbian pia upatikanaji wa Apps ni mzuri zaidi. Pia sina uhakika kama bundle za data za kawaida zinaingia bb au mpaka ununue bb plan, mwenye bb atusaidie.
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  BB hakuna chat program yoyote inakubali bila kujisalimisha kwenye bb server na bei yake kwa airtel 35,000 kwa mwezi ni mkasi sana. But linapokuja sula la App hakuna kama iPhone bana, hawa jamaa App store yao imetulia sana na unapata kila kitu tofauti na BB Apps zao haziko user friendly sana kwa sisi tulio 3rd world. Kama ni mpenzi wa touch screen hakuna Android phone tamu kama Samsung Galaxy Gio au hata Young(y)
   
 16. ChelseaBlue

  ChelseaBlue Senior Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nadhani kutumia BlackBerry ni kuiDhulumu nafsi kwasababu kwa upande wangu hiyo sio smartphone ni Social Networking Device! Nokia e73 ni afadhali kwa mara mia1 kwasababu asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye blackberry hata kwenye e series kinawezekana.. BlackBerry ni Qwerty keyboard tu na messenger service yake (amabayo ni kawida kwa sasa), otherwise mambo ya camera, internet, multimedia (videos) , Hacking (MODs), Jailbreaking, Rooting etc vinaongeza utamu wa kutumia smartphone ikiwemo e73!! BlackBerry's No pls!! poleni sana wana BB,,, :eek:
   
 17. ChelseaBlue

  ChelseaBlue Senior Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapo sahihi kabisa, hakuna zaidi ya iPhone, kwenye upande wa kuModify simu hakuna Platform iliyotulia kama IOS!! Applications nyingi zaidi ya zote na Application zilizo stable ukilinganisha na zilizopo kwenye mobile OS zingine,,,
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Dah!!! Yani hata kununua simu unataka kufanya SWOT analysis kwanza?

  Ukimaliza, fanya pia kwa network unayotaka kujiunga nayo.... Very important!!
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Mi sikubaliani na nyinyi kuwa iphone ina application nyini zaidi. Ila ntakubali iphone inazo nyingi za kulipia (over price shit)

  Symbian ina app nyingi zaidi (ambazo sio official) any one anatengeneza uwezo wako tu.
  kama huamini lets work practically bro taja appliacation ya iphone unayodhan mtu wa symbian hawez kua nayo
   
 20. ChelseaBlue

  ChelseaBlue Senior Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkwawa nasikitika kukutaarifu kuwa platform inayoongoza kwa Application nyingi kwa statistics za Jan 2012 ni IOS ikiwa na Apps 550,000 ikifuatiwa na Android 450,000 Apps. Platform yako unayoitetea iliyofifia ghafla ina Application 116,583 hapo ikijumlisha (Symbian(S60 + S40) + Meego + Maemo = 116,583), BlackBerry 60,000 Apps, Windows Phone 61,478 Apps, Palm OS & Windows Mobile 8,000 applications, WebOS 7,062 applications.

  'Download Count' upto Dec 2011 katika kila Platform.

  1. IOS --> 25 Billion downloads
  2. Android --> 13 Billion Downloads
  3. Symbian + Maemo + Meego --> ~ 4 Billion downloads
  4. BlackBerry --> ~ 6 Million downloads daily
  5. WebOS --> 108 Million downloads
  6. Windows Phone --> ~ 12 per person a month
  7. Others Unknown.

  kwa symbian nawezasema 99% ya applications za iphone, mtu wa symbian hawezikuwa nazo, hapo labda imejitahidi kuwa na baadhi ya maGame kwenye symbian yenye graphics ndogo kama Asphalt, Tomb Raider, Prince of Persia, etc..messengers kama nimbuzz, whatsapp, fb, msn, im+, za symbian za kishamba zinacrash mda wote..sidhani kama kuna application yeyote ya (symbian s60,v2,v3,v5, ^3) ya .sis au .sisx yenye ukubwa uliofika 100mb,,,ios inaskuma mpaka applications zenye 1.2 Gigabytes,, ushauri wangukama una interest na smartphones, huu mwaka wa 2012 sio mwaka wa kuhangaikia Symbian, ur so lostttttt,,,,:violin::violin:
   
Loading...