Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,493
- 2,247
mkwawa nasikitika kukutaarifu kuwa platform inayoongoza kwa Application nyingi kwa statistics za Jan 2012 ni IOS ikiwa na Apps 550,000 ikifuatiwa na Android 450,000 Apps. Platform yako unayoitetea iliyofifia ghafla ina Application 116,583 hapo ikijumlisha (Symbian(S60 + S40) + Meego + Maemo = 116,583), BlackBerry 60,000 Apps, Windows Phone 61,478 Apps, Palm OS & Windows Mobile 8,000 applications, WebOS 7,062 applications.
'Download Count' upto Dec 2011 katika kila Platform.
1. IOS --> 25 Billion downloads
2. Android --> 13 Billion Downloads
3. Symbian + Maemo + Meego --> ~ 4 Billion downloads
4. BlackBerry --> ~ 6 Million downloads daily
5. WebOS --> 108 Million downloads
6. Windows Phone --> ~ 12 per person a month
7. Others Unknown.
kwa symbian nawezasema 99% ya applications za iphone, mtu wa symbian hawezikuwa nazo, hapo labda imejitahidi kuwa na baadhi ya maGame kwenye symbian yenye graphics ndogo kama Asphalt, Tomb Raider, Prince of Persia, etc..messengers kama nimbuzz, whatsapp, fb, msn, im+, za symbian za kishamba zinacrash mda wote..sidhani kama kuna application yeyote ya (symbian s60,v2,v3,v5, ^3) ya .sis au .sisx yenye ukubwa uliofika 100mb,,,ios inaskuma mpaka applications zenye 1.2 Gigabytes,, ushauri wangukama una interest na smartphones, huu mwaka wa 2012 sio mwaka wa kuhangaikia Symbian, ur so lostttttt,,,,:violin::violin:
Uko sahihi kote kasoro kwenye file size, ukubwa wa file haimaanishi program ni bora, maprogram makubwa ya iOS ni inefficiency kwa mtazamo wangu.
Kwa anayetaka kununua smartphone sasa hivi kwa kweli hakuna sababu ya muhimu kununua Symbian, Nokia wanaiphase out Symbian in favor of WP7 pia kama unapenda BB ni bora usubiri BB 10 ambayo ni OS mpya itakayotoka mwaka huu.
Kama unataka Smartphone right now tafuta iPhone au high end Android kama uko teyari kulipa hela nyingi (Galaxy Nexus ni zaidi ya millioni kwa bongo) au nunua Android budget devices ZTE-Blade mimi natumia safi sana, value for money. Kwa bongo nakushauri sana Android.