Tofauti kati ya "Speak", "Talk", "Say", "Tell"

Dvs 6 mlungo utawajua tu.kipaza sauti,kutoa ujumbe,ongea,sema,mwambie

swissme
 
Hayo maneno hayana maana sawa, kila moja linamaana tofauti na linatumika tofauti. Japo maana zake zinakaribiana na zinaeza kumanisha kitu kimoja.

Kwa mfano kwenye kiswahili. Neno Sema na Ongea....

Sasa kwa uchambuzi zaidi

''Speak'' hii inatumika mtu anapowasiliana na watu wengine yeye ndiye akiwa anawasilisha jambo fulani au kutambulisha lugha anayozungumza

e.g peak (spoke, spoken)
He spoke to the class about the problem/ Aliongea na wanafunzi kuhusu tatizo

Can you speak Chinese?

''Talk'' ...hii hutumika mahali ambapo watu wanawasiliana kwa kupokezana au wapo kwenye mazungumzo

e.g talk (talked, talked)
They talked for hours about the problem.
Can I talk to Mr. Pitt, please?

''Say'' hii hutumika na vifungu vya maneno, kwa mfano kumwambia mtu jambo

e.g say (said, said)
She said nothing all morning. (spoke no words)
As she entered, she said 'Hello' to me.

''Tell'' hii hutumika mtu anapotoa taarifa kwa mtu ama kikundi cha watu

e.g tell (told, told)
She told me nothing about herself. (gave me no information)
Can you tell me how to get to the bank?

Note: Hizi verb zinaweza kutumika interchangeably katika baadhi ya sentensi

Mfano: Can I speak to Mr.Mulugo?
Can I talk with Mr.Mulugo
Jambo la muhimu ni kuangalia prepositions zilizotumika kwenye sentensi.

Karibu tena.

jamani jf ndo elimu mbadala, ivi maneno hayo yana maana sawa? au kuna tofauti? aya ingia jamvn
 
Hayo maneno hayana maana sawa, kila moja linamaana tofauti na linatumika tofauti. Japo maana zake zinakaribiana na zinaeza kumanisha kitu kimoja.

Kwa mfano kwenye kiswahili. Neno Sema na Ongea....

Sasa kwa uchambuzi zaidi

''Speak'' hii inatumika mtu anapowasiliana na watu wengine yeye ndiye akiwa anawasilisha jambo fulani au kutambulisha lugha anayozungumza

e.g speak (spoke, spoken)

Na 1x3 ni sawa na 3x1?????
 
Umeelezea vzr kwa hiyo nakupa likes za kufa mtu
 
Speak - Ongea
Talk - Zungumza
Say - Sema
Tell - Ambia

Mafundisho umepata sasa.

ongea ,sema ,niambie

Hakuna swali la kipumbavu ila kuna jibu la kipumbavu. Na ndio hili la kwako.

Hayo maneno hayana maana sawa, kila moja linamaana tofauti na linatumika tofauti. Japo maana zake zinakaribiana na zinaeza kumanisha kitu kimoja.

Kwa mfano kwenye kiswahili. Neno Sema na Ongea....

Sasa kwa uchambuzi zaidi

''Speak'' hii inatumika mtu anapowasiliana na watu wengine yeye ndiye akiwa anawasilisha jambo fulani au kutambulisha lugha anayozungumza

e.g speak (spoke, spoken)
He spoke to the class about the problem/ Aliongea na wanafunzi kuhusu tatizo

Can you speak Chinese?

''Talk'' ...hii hutumika mahali ambapo watu wanawasiliana kwa kupokezana au wapo kwenye mazungumzo

e.g talk (talked, talked)
They talked for hours about the problem.
Can I talk to Mr. Pitt, please?

''Say'' hii hutumika na vifungu vya maneno, kwa mfano kumwambia mtu jambo

e.g say (said, said)
She said nothing all morning. (spoke no words)
As she entered, she said 'Hello' to me.

''Tell'' hii hutumika mtu anapotoa taarifa kwa mtu ama kikundi cha watu

e.g tell (told, told)
She told me nothing about herself. (gave me no information)
Can you tell me how to get to the bank?

Note: Hizi verb zinaweza kutumika interchangeably katika baadhi ya sentensi

Mfano: Can I speak to Mr.Mulugo?
Can I talk with Mr.Mulugo
Jambo la muhimu ni kuangalia prepositions zilizotumika kwenye sentensi.

Karibu tena.
Nimewapenda bure maana wengine wameonekana kumponda kijana wakati mwenzao amekwama anataka kusaidiwa hii lugha iliyokuja na meli ikaondoka na ndege (na hii ya kupondana ndio imetufikisha hapa tulipo kuhusu hizi lugha za kigeni wakati huwezi ukaibuka ghafla na kuzungumza moja kwa moja au kuilewa lugha bila kuwa na misi kama gari yenye petrol iliyochakachuliwa)
 
Na 1x3 ni sawa na 3x1?????

Kimahesabu ni sawa yaani 1x3 na 3x1 hutoa jibu moja ambalo ni 3 lakini kimatumizi kuna tofauti.
Hospitalini ukipewa vidonge vitatu ukaandikiwa 1x3 maana yake umeze kidonge kimoja kimoja ambayo idadi yake hufikia vitatu kwa kutwa nzima lakini 3x1 umeze vidonde vitatu kwa mkupuo/mara moja kwa kutwa nzima. Kwa hiyo maneno yanaweza kuwa na matumizi tofauti kulingana na muktadha husika.
 
Back
Top Bottom