Tofauti kati ya penzi la dhati na penzi la kulogwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti kati ya penzi la dhati na penzi la kulogwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by somba kankara, Jul 23, 2012.

 1. somba kankara

  somba kankara Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habali za wakati huu wana JMF naomba mnisaidie kati ya haya maswala Nitalitambua vipi penzi la kutoka moyoni na penzi la kutoka kwa mganga Maana wanaume wengine unakuta anafanya kazi zote za ndani na mkewe yupo kakaa ukiiuliza unaambiwa mapenzi ya dhati na aliyelogwa nae vilevile na jamaa zangu husema love-up to the craz-point
   
 2. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  :yawn:
   
 3. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Upendo wa dhati una adabu na kumuheshimu mwezako. Si kumtumikisha mwenzio.
   
 4. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kwanza kabla ya yotee usipeleke fikra zako yuko kua kuna penzi la kurogwa sababu ukishaweka hiyo kwenye akili yako ushakuaa wasiwasi na huna imani na nafsi yako na umpendae pia, kumsaidia mkeo kupika au kusafisha sio kurogwa Bali nimapenzi, ivi kwa upande wako Kama mkeo/mumeo anaumwa huwezi kumpikia chai au kumuwekea maji yakuoga? Sio kurogwa nimapenzi tuu.....
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Wewe penda tu, hicho ndicho kitu rahisi kufanya kuliko kujua mwenzio ana mapenzi ya kweli au la!
  Ukijifeel hupati penzi sepa!

  Na kama si muhusika, it is even more harder kujua mapenzi ya watu wengine.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mwanaume hatakiwi kufanya kazi?
  Kwa hiyo wanaume wanaoa ili wqapate wafanyakazi?
  Mwanaume akimsaidia mkewe kazi ndo anakua karogwa? Yaani watu wasionyeshane mahaba wewe unadai karogwa? Loh.......
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Lile limbwata uloniwekea limepungua nguvu, njoo chukua hela ukatafute lenye nguvu zaidi.
   
 8. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Moyo ni giza nene huwezi kujua..source: lady jay dee:bathbaby:
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Afu we Purple hebu kam zis way unipemo kipuply puply. Hujambo lakini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  anhaa Asprin unataka uanze kupata kipapli asubuhi yote hii kazi zitafanyika kweli?bai ze wei nakuja na mie nitibiwe..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Nakusubiri huku kwa inbox ya PM. Ukichelewa ntakuchapa.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Babu odm inabidi bibi awe anakupa morning glory ila nitampeleka kimanzichana kwa mganga aw mange kimambi
   
 13. somba kankara

  somba kankara Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aah unaja unapoongelea kusaidia panaonekana kama mkeo anaumwa ninawezakufanya kazi zote lakini mzima!!
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  loh sasa nikikuwekea si ndo utakuwa kazini huendi utataka kujigijigi tu? tutakufa masikini bure, sikuongezei dozi   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Penzi la dhati linatoka kwa MUNGU kwa kuwa MUNGU ni PENDO (GOD is LOVE)
  Penzi la mganga linatoka kwa shetani Kwakuwa shetani ni muharibifu (devil is destruction)

  AMEN.............
   
 16. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  :mwaaah:
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mwanaume anafanyishwa kazi wakati mama amekaa anaangalia tv au anaongea na mashoga zake...huyo definitely KALOGWA
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  ..............:spy:
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Ooooooh Glory to God!!
   
Loading...