Tofauti kati ya La Liga na EPL | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti kati ya La Liga na EPL

Discussion in 'Jamii Photos' started by bryan2, Jan 9, 2017.

 1. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  1483948517716.jpg
   
 2. jackline1

  jackline1 JF-Expert Member

  #61
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 1,688
  Likes Received: 1,585
  Trophy Points: 280
  Umesema EPL kuna wasomali wawili wanacheza au nimesoma vibaya
   
 3. MO11

  MO11 JF-Expert Member

  #62
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 23, 2014
  Messages: 14,193
  Likes Received: 12,532
  Trophy Points: 280
  hili swali kamuulizeni pep Guardiola kocha bora tangu barca imeanzishwa ila kaja epl anachokutana nacho uliza nyasi
   
 4. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #63
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kinachomsumbua Guardiola sio ugumu wa league. Hana wachezaji wakufundisha aina ya mpira anaotaka. Viwango vya wachezaji wamezoea butua butua na kukimbia, possession football inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira na kutoa pasi zinazoeleweka.
   
 5. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #64
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kwa taarifa yako tu EPL ni timu yenye mishahara mikubwa kuliko laliga toka enzi, kama hutoangalia wakina Ronaldo na Mess. Na umesema waliwahi meaning kwamba kwasasa hawana uwezo huo, so tunarudi pale pale laliga wapo juu yao, hadi hapo watakapoweza tena. Jaribu kuangalia tena wakati epl ina compete kwa ujumla wamechukua UEFA mara ngapi?
  Alafu pili tusiangalie tu kuchukua ubingwa, je katika hatua za makundi kati ya epl na laliga nani anavusha timu nyingi na zinafika hatua gani na hutolewa na timu za ligi gani. Mara nyingi utakuta timu za laliga zinatoana zenyewe kwa zenyewe.
   
 6. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #65
  Jan 10, 2017
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Hope utaelewa nilichomaanisha.
   
 7. MO11

  MO11 JF-Expert Member

  #66
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 23, 2014
  Messages: 14,193
  Likes Received: 12,532
  Trophy Points: 280
  aliowasajilli hawajui mpira na aliowakuta nao hawajui mpira??
  ulitaka aje na Messi?
   
 8. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #67
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Mbona pale Munchen hana kingine zaidi ya Kombe la Bundesliga na kakuta timu nzuri tu angekua mbabe angebeba na UEFA akiwa na bayern munich
   
 9. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #68
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Ligi ya Uingereza ni bora mkuu kwanza pale kuna mkusanyiko wa kila aina ya mafundi wa mpira mafundi wa long passes,Short passes,ubabe,Ufundi utawakuta pale.

  Achana na Hizo za kukutana mara moja kwa msimu sijui UEFA,europa league hapo kuna kuoteana ni sawa na siku moja Kauzu fc icheze na Yanga halafu wawafunge huweze sema Kauzu fc ni bora kuliko Yanga,Hebu hizi Za Spain zije zishiriki Msimu wote wa Epl ndo utaona Utamu,mfano zichukuliwe timu 10 toka spain na 10 toka uingereza zicheze ligi uone kama hao waspain watafurukuta.
   
 10. DUBULIHASA

  DUBULIHASA JF-Expert Member

  #69
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 1,652
  Likes Received: 1,646
  Trophy Points: 280
  Mkuu sasa ningependa unijibu maswal yafuatayo ili tujue uingereza ni ligi bora
  > kwa nini champions ligi waliobeba kombe mara nying ni barca na madrid km kwel uingereza ni bora zaid?
  >kwa nini Atletico madrid toka hispania wameingia champions league mara mbili ndani ya misimu mitatu wakati wao sio timu ambazo wengi mnadai sio nzuri bali hispania ni barca na madrid tu?

  >kwa nini sevilla wamechukua europa mara tatu mfululizo tena hii mara ya tatu kwa kuwachapa hawa liverpool toka uingereza ambao mnadai wako ligi bora?

  >kwa nini fainali na nusu fainal champions zinatawala timu za hispania na sio uingeleza kwa muda mrefu sasa?

  >kwa nini mchezaji bora wa dunia anatoka hispania kwa takriban miaka kumi ama cristiano ronaldo ama messi kwa miaka kumi sasa?

  ,>kwa nini kikosi bora cha dunia kwa mfano mwaka huu wachezaji kumi kwenye hicho kikosi ni kutoka ligi ya hispania na mmoja toka ujerumani na sio uingereza km wao bora?
   
 11. hb81

  hb81 Senior Member

  #70
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 163
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  We mwenyewe jiulize kwa nini huangalii la liga unaangalia epl huo ndio ubora wake
   
 12. BlackPanther

  BlackPanther JF-Expert Member

  #71
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 25, 2015
  Messages: 2,981
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeenda mbali sana huko! Segunda Division inawatoa kamasi epl..labda city naiaminia kidogo
   
 13. BlackPanther

  BlackPanther JF-Expert Member

  #72
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 25, 2015
  Messages: 2,981
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu ni dada yetu bana!
   
 14. jackline1

  jackline1 JF-Expert Member

  #73
  Jan 10, 2017
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 1,688
  Likes Received: 1,585
  Trophy Points: 280
  Mwambie mie ndie First Lady wa Barca-aje kwenye thread yetu nim school katika all aspects of Football
   
 15. BlackPanther

  BlackPanther JF-Expert Member

  #74
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 25, 2015
  Messages: 2,981
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280

  • Argentina
  • Brazil
  • Colombia
  In terms of Quality of football, I think Argentain has the best league, as it can be both entertaining and unpredictable.
   
 16. BlackPanther

  BlackPanther JF-Expert Member

  #75
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 25, 2015
  Messages: 2,981
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Hahahaa nakuaminia my dada jackline, atakua amekupata vyema ndugu yetu
   
 17. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #76
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo kuoteana zinaotewa za Epl tu?? Hembu taja hizo timu 10 za epl zitakazofurukuta zikikutana na 10 za laliga
   
 18. kasigazi kalungi

  kasigazi kalungi JF-Expert Member

  #77
  Jan 17, 2017
  Joined: Dec 22, 2013
  Messages: 2,972
  Likes Received: 1,423
  Trophy Points: 280
  Sio mpaka achukue bhana, hata kufika nusu fainali sio shughuli ndogo mkuu. Muulize Wenger tangu 2005 hajui nusu fainali ya UCL inafananaje.
   
 19. Goodluck TZ

  Goodluck TZ JF-Expert Member

  #78
  Jan 18, 2017
  Joined: Oct 24, 2015
  Messages: 1,464
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  WEWE EPL NI BORA NA NI NGUMU
   
 20. m

  milioni milioni JF-Expert Member

  #79
  Jan 18, 2017
  Joined: Mar 25, 2013
  Messages: 1,196
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Messi Hata Azunguke Vipi Hawezi Fikia Kiwango Cha Jay Jay Okocha Ligi Ya Hispania Hata Itangazwe Vipi Haifikii Ligi Ya Brazili Ronaldo Ashinde Vikombe Elfu 1 Atletico Na Sevilla Waingie Fainali Mara 100 Bado Hunishawishi Niangalie Mechi Eti Ya Las Palmas Na Sporting Gijon Niache Everton Na Liverpool Manchester United Na Man City Hao Madilidi Bacalona Hawana Tofauti Na Simba Na Yanga Vpl.
   
 21. dem boy

  dem boy JF-Expert Member

  #80
  Jan 18, 2017
  Joined: Nov 4, 2016
  Messages: 2,269
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Alichukua tuzo lkn baada ya miaka mingi sana EPL kutoa mchezaji bora cha ajabu tangu Ronaldo awaache miaka saba sasa EPL haijaleta hata mchezaji moja top five ya mchezaji bora huoni EPL ina tatizo hapo
   
Loading...