Tofauti kati ya La Liga na EPL | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti kati ya La Liga na EPL

Discussion in 'Jamii Photos' started by bryan2, Jan 9, 2017.

 1. bryan2

  bryan2 JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2017
  Joined: Jun 8, 2016
  Messages: 2,259
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  1483948517716.jpg
   
 2. Daud1990

  Daud1990 JF-Expert Member

  #41
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 15, 2014
  Messages: 3,593
  Likes Received: 4,077
  Trophy Points: 280
  Acha kulinganisha EPL na vitu vya kipumbavu
   
 3. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #42
  Jan 10, 2017
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Latest kuna mkataba mnono vyombo vya habari vimeingia na EPL, kwa hiyo mishahara inapanda, timu zitakuwa na uwezo wa ku-attract star players na nina uhakika EPL teams zitaanza kuwa stable na kuweza kukimbizana UEFA.
   
 4. Kijibabu

  Kijibabu Member

  #43
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 3, 2016
  Messages: 58
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 25
  Inategemea na vigezo gani unatumia kutoa ubora wa ligi, kama utapima kwa kuangalia performance ya timu za ligi moja dhidi ya ligi nyingine basi la liga ni bora na epl hata tatu bora haipo. Ila ukipima kwa kuangalia ushindani ndani ya ligi basi epl ni the best, ndio maana Leicester kachukua ndoo last season. Ila ukienda la liga the only way osasuna atachukua ndoo is when pigs get wings and fly. Nchi nzuri ni ile ambayo raia hawaachani sana kipato yaani gap Kati ya walionacho na walionacho ni dogo sana, hiki ndicho waafrika tunakipigania yaani kuwa kama EPL
   
 5. DUBULIHASA

  DUBULIHASA JF-Expert Member

  #44
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 1,652
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Ligi ya zanzibar bas ni bora kiushindan kuliko tanzania bara kwa sababu mabingwa wanabadilishana mara taifa jang'ombe, mara miembeni,mara malindi, mara kmkm, mara cjui polisi WAKAT huku bara ni Simba na yanga tu.


  VIGEZO VYA KITOTO SANA
   
 6. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #45
  Jan 10, 2017
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Mkuu nahisi huu mjadala hatutaumaliza kwa sababu mimi nazungumzia future, wewe unazungumzia past na present.
   
 7. DUBULIHASA

  DUBULIHASA JF-Expert Member

  #46
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 1,652
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Hapo nimekuelewa mkuu
   
 8. isotaaaa

  isotaaaa JF-Expert Member

  #47
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 1,488
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  Ubora wa la liga ni upi mkuu?

  kipimo cha barca kushinda 9,7,6,4 kila.mechi au Madrid .
   
 9. DUBULIHASA

  DUBULIHASA JF-Expert Member

  #48
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 1,652
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Mkuu ongea ukwel wa Mungu wako vp Leceister city tungewapeleka La Liga wangeweza kwel kuchukua ubingwa kwa kiwango kile?

  KUWA MKWEL MKUU
   
 10. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #49
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hahaaaaa, sasa usichanganye ubora na ushindani, hivyo ni vitu viwili tofauti, ndio mana from the beginning nimesema Real na Baca sio dominant laliga peke yake bali ni dunia nzima. Kitendo cha Sevilla kuchukua uropa ligi mara tatu mfululizo na timu za epl zikiwepo inajieleza.. mnaweza kua na ushindani lakini umewahi jiuliza huo ushindani ni wakiwango gani? Toka lini ukapima ubora wa shule kwa mitahani ya muhula?
   
 11. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #50
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Sasa wewe unasema Man u kaingia fainali mara 3 na kuchukua mara 1 alafu unasema unazungumzia feature. Hiyo ni future gani Mkuu?
   
 12. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #51
  Jan 10, 2017
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Hiyo ilikuwa reference ya kuonesha kwamba waliwahi ku-compete, so wata compete tena hasa ukichukulia huu uwekezaji unaofanyika kwa sasa.

  Kipindi hicho unakumbuka walikuwa na World Class Players kama kina Drogba, Ronaldo, Torres, Thierry, Scholes etc etc.

  Na unaweza kuona changamoto itakayoletwa na makocha kama Mou, Konte, Klopp na Pep katika ku-attract wachezaji wakubwa na ukichukulia pia mkataba mpya (mono) wa vyombo vya habari unakuja na mishahara ya ukweli.
   
 13. Mr Hero

  Mr Hero JF-Expert Member

  #52
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 11, 2015
  Messages: 5,547
  Likes Received: 6,867
  Trophy Points: 280
  Spain ni Ligi bora yenye timu bora, Ila sio Ligi yenye mvuto kutazama kwa sababu haina msisimko wowote kutokana na timu 3 tu kutawala Ligi,
  EPL ndo Ligi yenye mvuto zaidi na hamasa na ushabiki wenye kunoga kwa sababu ya ushindani wake,
  Spain Ligi yao inaonyeshwa kwa gharama ndogo sana na bado haivutii watu kutazama tofauti na gharama kubwa za EPL
   
 14. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #53
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 20,253
  Likes Received: 44,065
  Trophy Points: 280
  La Liga haina msisimuko kwasababu Barca na R. Madrid zinabebwa. Juzi Barca ananyongwa kweupe ili R.Madrid achukue kombe.
   
 15. DUBULIHASA

  DUBULIHASA JF-Expert Member

  #54
  Jan 10, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 1,652
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Ukwel ni kwamba Barcelona na Real Madrid wanachokifanya hispania wangekifanya hata wangekua ligi yoyote kwa hiyo kosa sio la ligi ya hispania bal kosa ni la hizi timu mbili na ndio maana hata kikos cha dunia kilichotolewa jana ni wao tu wametawala

  Barca wachezaji watano na madrid watano
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #55
  Jan 10, 2017
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,285
  Likes Received: 12,997
  Trophy Points: 280
  Ubaya ni kuwa Real na Barca wanafunga timu zote za EPL kasoro Chelsea tu
   
 17. sunola

  sunola JF-Expert Member

  #56
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 19, 2013
  Messages: 2,807
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  umemsahau liver alichowafanya na MSN yao?
   
 18. Kijibabu

  Kijibabu Member

  #57
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 3, 2016
  Messages: 58
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 25
  Sasa mi nimetofautiana nini na wewe? , rudia tena kunisoma mkuu utaelewa nimemaanisha nini.
   
 19. Swagger is alive

  Swagger is alive JF-Expert Member

  #58
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 8, 2016
  Messages: 567
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 80
  Kwangu mimi La liga ni league bora zaidi kuliko EPL though EPL ni maarafu zaidi hasa huku kwetu Africa. Barca na Real Madrid zinadominate sio La Liga tu Ila hata ukija Champions League na Pia Klabu Bingwa dunia hawa vigogo wawili wanasumbua. Hata ukiangalia timu nyingine za Laliga kama Atletico Madrid, Villareal, Sevilla zina viwango vizuri tu kulinganisha na Timu za EPL.
   
 20. K

  Kingsharon92 JF-Expert Member

  #59
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 10, 2015
  Messages: 4,084
  Likes Received: 4,281
  Trophy Points: 280
  La liga ni ligi bora Epl ni ligi maarufu tu
   
 21. isotaaaa

  isotaaaa JF-Expert Member

  #60
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 1,488
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  wangeweza tu mkuu ....kilicho pangwa na mungu mkuu hakipanguliwi na binadamu
   
Loading...