Tofauti kati ya La Liga na EPL

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
1483948517716.jpg
 
Wafuata upepo wanasema Hispania kuna timu mbili yaani Real Madrid na Barcelona ila wamesahau kuwa Kuna Atletico Madrid ameingia fainali champions league mara mbili ndani ya misimu mitatu na hawa manyumbu wanasahau kuwa Sevilla kachukua europa mara tatu mfululizo tena hii ya tatu akichukua kwa kuwatwanga hao hao waingereza.

Kwa hiyo mm nikimsikia mtu anasema ligi ya uingereza ni bora kuliko ya hispania huwa sibishan nae zaid ya kucheka.
 
Ila toka 2012 hakuna timu ya epl inayochukua au kufika finali
 
Ukiwatoa Madrid, Baca na Atletical. wanaobaki top 5 laliga wanawatoa jasho top 5 wote EPL. Usisahau hata vilaza wana ushindani wakikusanywa pamoja
Mkuu yaan hii kitu watu wamekariri sana eti ligi ya uingereza ni bora... hoja za kijinga kabisa, sasa ww mwenyewe mkuu jiulize hats ukiwatoa barca na Madrid pale hispania vp leicester city ukiwapeleka pale hispania ubingwa gan cjui wangechukua
 
Wafata mkumbo tu hawa.. Siku hizi wanapigwa na timu hadi za urusi huko. Swali la kawaida tu.. Hivi wanategeme stock city anaweza pambana na Madrid/Atletico? Madrid na Baca wanaonekana ku dominant laliga kwasababu kiwango chao sio changamoto tu kwa club za Spain bali duniani kwa ujumla
 
Hyo ni point kubwa sana kwamba hawa magiant wawil wa hispania hata wangepelekwa kokote wangefanya wanachokifanya hispania na tena wangekuja uingereza wangenyanyasa zaid wakat kule hispania kila timu inapambana. Afadhal kidogo hata timu km Bayern munich kwa ujeruman ina uwezo wa kupambana na hawa wakubwa wawil ukilinganisha na timu za uingereza
 
League bora duniani ni "league ya zanzibar/zenji-team hakuna kushuka daraja". Walitangaziwa hivo na raisi wa shirikisho lao.
 
Ila toka 2012 hakuna timu ya epl inayochukua au kufika finali

Ila ninadhani Chelsea, Man City na Man U watabadili upepo wa UEFA kuanzia msimu ujao.

Maana investment inayofanyika sasa hivi ni ya ukweli.
 
Ila ninadhani Chelsea, Man City na Man U watabadili upepo wa UEFA kuanzia msimu ujao.

Maana investment inayofanyika sasa hivi ni ya ukweli.
Mimi Barca damu,lakini truth be told betting yote nacheza Premiership-huko kuna mapesa ya ajabu
 
Ila ninadhani Chelsea, Man City na Man U watabadili upepo wa UEFA kuanzia msimu ujao.

Maana investment inayofanyika sasa hivi ni ya ukweli.
Ngoja tuone muda ndo utatuambia. Natamani hata msimu huu leicester ingechomolewa kwenye UEFA alafu nafasi ikapewa chelsea ili kubeba taifa la uingereza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom