Tofauti kati ya La Liga na EPL

Tofauti kati ya La Liga na EPL

Ha ha ha ha, lakini bado naamini UK league ndio bora, achana na ishabiki was timu mbili tu
Ubora upo kwenye upande wa biashara na si mpira na ndo maana Fifa house hawatiagi mguu wanaingia wanaojua tu kwenye ule mjengo nao wengine ni messi,ronaldo,Ramos, pique,Marcelo, modric,iniesta,Suarez, neymar,kroos nk
 
Ligi ya Uingereza ni bora mkuu kwanza pale kuna mkusanyiko wa kila aina ya mafundi wa mpira mafundi wa long passes,Short passes,ubabe,Ufundi utawakuta pale.

Achana na Hizo za kukutana mara moja kwa msimu sijui UEFA,europa league hapo kuna kuoteana ni sawa na siku moja Kauzu fc icheze na Yanga halafu wawafunge huweze sema Kauzu fc ni bora kuliko Yanga,Hebu hizi Za Spain zije zishiriki Msimu wote wa Epl ndo utaona Utamu,mfano zichukuliwe timu 10 toka spain na 10 toka uingereza zicheze ligi uone kama hao waspain watafurukuta.
Usifikirie kisichowezekana,simple measure nje ya hizi ligi timu zake hukutanaga na mara nyingi timu zinazotoka la liga ndizo zinazopataga matokeo mazuri
 
Mkuu yaan hii kitu watu wamekariri sana eti ligi ya uingereza ni bora... hoja za kijinga kabisa, sasa ww mwenyewe mkuu jiulize hats ukiwatoa barca na Madrid pale hispania vp leicester city ukiwapeleka pale hispania ubingwa gan cjui wangechukua
Mbona mnatokwa na mapovu kama mifugo yenye ndigana? Hawakusema EPL ni ligi bora, wamesema ni ligi NGUMU.

Ukilinganisha ushindani kwenye hizi ligi mbili, utaona nafasi ya timu ndogo kuifunga kubwa, tofauti na La Liga ambapo inajulikana fika kuwa Sevilla kwa Madrid ni kichapo tu
 
Uwezekano wa wasomali kuwepo EPL upo
mbona sijawahi sikia? Kuna swali linanitatiza mimi ni Barca damu/makazi lakini kama Barca haichezi siangalii huo mpira lakini najikuta naangalia sana EPL hata timu ndogo ndogo-sijui EPL ina excite sana au nini hasa??
 
mbona sijawahi sikia? Kuna swali linanitatiza mimi ni Barca damu/makazi lakini kama Barca haichezi siangalii huo mpira lakini najikuta naangalia sana EPL hata timu ndogo ndogo-sijui EPL ina excite sana au nini hasa??
Man city kipindi fulani nyumba alishawahi kuwa na msomali abdisalan sijui alipotelea wapi na wengi wao wanapatikana academy kuna wasomali wengi England wengi walienda km refugees wengine wamezaliwa kule kule kwa wenye wazazi walioenda tangu enzi hizo
 
Ili kupima ubora wa ligi nafikiri ingewezekana msimu mmoja top two za EPL ziende zikashiriki LA LIGA na hali kadhalika top two za LA LIGA ziende EPL. Hapo ndiyo tungejua kama maharagwe ni mboga ya matunda ama lah Guardiola anaweza kutusaidia!

Haya mashindano ya UEFA, CHAMPIONS LEAGUE wakati mwingine si kipimo kizuri cha ubora wa timu tumeshuhudia mara ngapi timu zisizotegemewa zikiamka vizuri zinatoboa mpaka FAINALI.
 
Mkuu uko sawa kabisa wachezaji wote epl wana ndoto za kwenda kucheza barca au madrid.... kila mchezaji anapambana ainue kiwango chake hawa jamaa wakimwitaj anaondoka zake. HUU NDO UKWEL AMBAO WENGI CJUI WANAOGOPA KUUSEMA AU CJUI HAWAJAUTAMBUA
We muongo sana Herrera mbona ameikataa barca.
 
Back
Top Bottom