Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,084
- 2,235
Kutoka Uchina,
Mambo yanaonkekana kuwa serious sana baina ya nchi hizo mbili kufuatia sakata linalomkabili Mbappe kuchukua hatua kubwa kufikia hatua mchina kukata mkono wa kibiashara na Laliga.
Na linaweza kwenda mbali zaidi ya hapo.
Viongozi wa La liga hadi kufikia muda huu kauli na msimamo wao ni Hawapo tayari kupoteza soko lao huko China.