Tofauti kati ya La Liga na EPL

Nikukumbushe tu the best Man you iliyokua Cr7 ilikutana na Baca, nadhani unakumbuka kilichotokea. Sio kufungwa tu bali ilionekana kama miembeni ya Zenji.

Ila ninadhani Chelsea, Man City na Man U watabadili upepo wa UEFA kuanzia msimu ujao.

Maana investment inayofanyika sasa hivi ni ya ukweli.
 
Hyo ni point kubwa sana kwamba hawa magiant wawil wa hispania hata wangepelekwa kokote wangefanya wanachokifanya hispania na tena wangekuja uingereza wangenyanyasa zaid wakat kule hispania kila timu inapambana. Afadhal kidogo hata timu km Bayern munich kwa ujeruman ina uwezo wa kupambana na hawa wakubwa wawil ukilinganisha na timu za uingereza
Kweli kabisa.Na Bayan mwenyewe akiwa kwenye form ya aina yake kakutana na hawa jamaa recently na ikaishia kua aibu kwao.
 
Ila ninadhani Chelsea, Man City na Man U watabadili upepo wa UEFA kuanzia msimu ujao.

Maana investment inayofanyika sasa hivi ni ya ukweli.
Tatizo ni kwamba wana invest sana lakini wachezaji kiwango kikipanda wanakimbilia Spain. Na bado ni wachezaji wachache sana unaweza walinganisha na wale wanaocheza Madrid au Baca.. Mwenyewe nikikwambia uwataje utaanza kutafuta kwa tochi. Pia trend ya viwango vya wachezaji epl wengi wao sio vya kudumu. Mchezaji anawika nusu msimu au msimu mmoja tu. Alafu angalia tu hata Mchezaji kama Diego Costa ambae anaonekana ni striker mzuri ana goli ngapi champions League.
 
Wafuata upepo wanasema Hispania kuna timu mbili yaani Real Madrid na Barcelona ila wamesahau kuwa Kuna Atletico Madrid ameingia fainali champions league mara mbili ndani ya misimu mitatu na hawa manyumbu wanasahau kuwa Sevilla kachukua europa mara tatu mfululizo tena hii ya tatu akichukua kwa kuwatwanga hao hao waingereza.

Kwa hiyo mm nikimsikia mtu anasema ligi ya uingereza ni bora kuliko ya hispania huwa sibishan nae zaid ya kucheka.
OK, mkuu vikombe sio kipimo pekee, mwaka Jana wakati was michezo ya ulaya, 80% ya wachezaji was timu shiriki walikuwa wanacheza Soka premier legue
 
Tatizo ni kwamba wana invest sana lakini wachezaji kiwango kikipanda wanakimbilia Spain. Na bado ni wachezaji wachache sana unaweza walinganisha na wale wanaocheza Madrid au Baca.. Mwenyewe nikikwambia uwataje utaanza kutafuta kwa tochi. Pia trend ya viwango vya wachezaji epl wengi wao sio vya kudumu. Mchezaji anawika nusu msimu au msimu mmoja tu. Alafu angalia tu hata Mchezaji kama Diego Costa ambae anaonekana ni striker mzuri ana goli ngapi champions League.
Mkuu uko sawa kabisa wachezaji wote epl wana ndoto za kwenda kucheza barca au madrid.... kila mchezaji anapambana ainue kiwango chake hawa jamaa wakimwitaj anaondoka zake. HUU NDO UKWEL AMBAO WENGI CJUI WANAOGOPA KUUSEMA AU CJUI HAWAJAUTAMBUA
 
Ila toka 2012 hakuna timu ya epl inayochukua au kufika finali
Ndio maana ligi sio shindani, toka 2000,wanapishana timu mbili tu, UK....in zaidi ya timu 4 zimefika fainali kipindi hicho
 
Mkuu yaan hii kitu watu wamekariri sana eti ligi ya uingereza ni bora... hoja za kijinga kabisa, sasa ww mwenyewe mkuu jiulize hats ukiwatoa barca na Madrid pale hispania vp leicester city ukiwapeleka pale hispania ubingwa gan cjui wangechukua
Ha ha ha ha, lakini bado naamini UK league ndio bora, achana na ishabiki was timu mbili tu
 
Nikukumbushe tu the best Man you iliyokua Cr7 ilikutana na Baca, nadhani unakumbuka kilichotokea. Sio kufungwa tu bali ilionekana kama miembeni ya Zenji.

Hiyo hiyo Man U ya Ronaldo iliingia Finals mara 3, kati ya hizo ilichukua mara moja. Je hayo siyo mafanikio?

UEFA FINALS.jpg
 
OK, mkuu vikombe sio kipimo pekee, mwaka Jana wakati was michezo ya ulaya, 80% ya wachezaji was timu shiriki walikuwa wanacheza Soka premier legue
Epl ni ligi ambayo iko marketable lakin sio bora na wachezaj weng wanaenda huko kwa sababu wigo umetanuliwa tofaut na nchi zngine kwa hyo watu wameziona fursa........ Mbona Somalia ina km wachezaji wawili nadhan wenye asili ya huko wanaocheza epl wakat tanzania hatuna hata mmoja vp unaweza kusema somalia ipo juu kisoka jst kwa sababu tu ina wachezaj wenye asil yao epl? Mi naona ni kigezo lakin very minor kwa hii context
 
Tatizo ni kwamba wana invest sana lakini wachezaji kiwango kikipanda wanakimbilia Spain. Na bado ni wachezaji wachache sana unaweza walinganisha na wale wanaocheza Madrid au Baca.. Mwenyewe nikikwambia uwataje utaanza kutafuta kwa tochi. Pia trend ya viwango vya wachezaji epl wengi wao sio vya kudumu. Mchezaji anawika nusu msimu au msimu mmoja tu. Alafu angalia tu hata Mchezaji kama Diego Costa ambae anaonekana ni striker mzuri ana goli ngapi champions League.
kuna leagues ya biashara na ligu ya mpira kujua hilo no headache
 
Shida ipo kwa man u

Msimu ujao hawawez kushirik champions league labda europa watashirik

Mkuu usiwadharau sana Man U kuhusiana na top 4, kama umeona trend yao latest utaelewa kwa nini jamaa hawatakiwi kudharauliwa kabisa.

Difference na top 4 ni point 3 tu, na mwanzo aliachwa point nyingi sana.
 
Hiyo hiyo Man U ya Ronaldo iliingia Finals mara 3, kati ya hizo ilichukua mara moja. Je hayo siyo mafanikio?

View attachment 457166
Hapo sijazungumzia kuingia final au kuchukua.. Nimelinganisha performance kati ya timu za laliga na epl na hapo nimezungumzia a specific game. Hiyo kuchukua mara ngapi ndio hata usizungumzie.
 
Ha ha ha ha, lakini bado naamini UK league ndio bora, achana na ishabiki was timu mbili tu
Atletico na Sevila co bora?

Mkuu uwe unafuatilia soka usisikilize watu na kuwafuata. Eti kisa Eddo kumwembe au Shafii Dauda kasema bas ndo ufuate wakat nawe upstairs unaelewa
 
Ni mafanikio lakin ww unataka kusemaje? Kwa hyo Unataka useme man u ni bora kuliko Barca na Madrid kwa kigezo hicho kwa hiyo epl ni bora kuliko la liga?

Hapana mkuu, hakuna ubishi kuhusu ubora wa Barcelona, mimi nimezungumzia kuhusu timu za UK zimeshindwa kufurukuta UEFA since Chelsea achukue ubingwa 2012.

Nilimquote Root nikisema, kwa investment zinazofanyika kwa sasa, tutegemee timu kama Chelsea, Man City, Man U ziki-compete UEFA hasa hasa kuanzia msimu ujao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom