Nimecheka mbavu zangu mie . una umri gani ?Komandoo ni mpambanaji anayependa kuonesha manjonjo yake mbele ya kadamnasi mfano kwenye sikukuu za kitaifa.
Ninja ni mpambanaji asiyependa mbwembwe yuko local a.k.a bush land
Unamaanisha komandoo wa sherehe za muungano?Komandoo ni mpambanaji anayependa kuonesha manjonjo yake mbele ya kadamnasi mfano kwenye sikukuu za kitaifa.
Ninja ni mpambanaji asiyependa mbwembwe yuko local a.k.a bush land
Jawabu la swali hilo halijawahi kumuacha mtu salama.Unamaanisha komandoo wa sherehe za muungano?
Jamii forum ni kwikwi kwa kweli...majibu ya huu uzi hapana.....Unamaanisha komandoo wa sherehe za muungano?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jawabu la swali hilo halijawahi kumuacha mtu salama.
Jamii forum ni kwikwi kwa kweli...majibu ya huu uzi hapana.....