Tofauti Gani Kati ya Smart Boy n Sharobalo ?

Tofauti Gani Kati ya Smart Boy n Sharobalo ?

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
Habari wadau !
Naombeni niulize ipi tofauti kati ya mwanaume smart na sharobalo ?
 
Mwanaume smart ni yule ambae ni nadhifu kimavazi na wengi wao kichwani pia wana IQ kubwa
Sharobaro ni yule anaevaa vizuri lakini siyo proper ndo wakati mwingine wanavaa mlegezo ambayo haikubaliki na jamii
 
Wote hawana tofauti, mwanaume ni yule ambae ni mwanaume... mwanaume utapendeza vipi kama mtoto wa kike?
Kuwa na kiasi sio poda
 
Smart boy anajielewa ndiyo maana akawa smart. Sharobaro hana akili hajielewi kula kulala ndiyo maana akaitwa sharobaro.
 
Mwanaume smart ni yule ambae ni nadhifu kimavazi na wengi wao kichwani pia wana IQ kubwa
Sharobaro ni yule anaevaa vizuri lakini siyo proper ndo wakati mwingine wanavaa mlegezo ambayo haikubaliki na jamii

Sharobaro hawezi kuwa smart??
 
Physical appearance ya mtu na IQ yake ni kugezo tosha cha kuitwa smart
 
asilimia kubwa ya masharabaro wavivu sana hawa, wanapenda kazi laini laini tu hawa..
 
sharobaro anavaa SUPRAAAAAaaa, alafu anachomekea suruali kwny supra na kuvaa mlegezo,pia ananing'iniza kofia na kusema watsup mamen
 
Mtu smart ni yule anaepangilia nguo,msafi na anajipenda. Sharobaro ni yule anaependa kwenda na mavazi ya msimu (Trendy), anapenda nguo za kuiga, tabia zake ni za kuigiza na hapendi kazi ngumu.
 
sharo ana simu kali ila kaazima na haina vocha, anabomu airtime, hata mavazi yake mengi kazipata kwa magumashi,
smart' hata nguo iwe simpo ila ni safi na imeendanaye,- hana makuu na hasumbui watu juu ya vocha zake
 
Back
Top Bottom