Today is my Birthday

Today is my Birthday

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
Habari zenu wana MMU.kwa mara ya kwanza nawashirikisha ktk siku hii muhimu kwangu;siku ya kuzaliwa kwangu ambayo mimi kadoda11 niliwasiri Duniani.Ilikuwa ni alasiri ya alhamisi,tarehe 19 mwezi wa 12, miaka kadhaa iliyopita pale Muhimbili Hospital-DSM.
 
Last edited by a moderator:
happy birthday mkuu kumbe wewe ni ME
sikujua mie Mungu akupe maisha marefu yenye upendo, amani na afya njema

uishi milele
 
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako...
 
happy birthday mkuu kumbe wewe ni ME
sikujua mie Mungu akupe maisha marefu yenye upendo, amani na afya njema

uishi milele

hahaha uchokozi huo ladyfurahia.asante kwa wish.what made you think i was a SHE?...btw am having a small and private bash this evening somewhere in dar.nime ku invite officially.
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako...

mkuu nashukuru sana kwa kuchukua dakika zako chache kunitakia heri ya kuzaliwa.nafarijika sana kwa kweli.i love u mmu community.
 
Back
Top Bottom