Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Angel mamitto, happy birthday dearest! Mwenyezi Mungu akujaalie upone upesi, uwe na afya njema .....na maisha marefu yenye heri na fanaka!!
Naomba nimjibie, "INSHAALLAH" Nashukuru kipipi

yes mkuu itabidi iwe hivyo

Unajua hizo baraka zimebeba vimelea vya homoni za kike! Shauri yako Mtally.....
Nilipita wodin kwake jana jion...
Unajua hizo baraka zimebeba vimelea vya homoni za kike! Shauri yako Mtally.....
Hahahaaa ntavibloototh kwa mke wangu...
Na ule uchovu ulofika nao MIST, ungewezea wapi wewe kuanzisha safari nyingine mpaka mlimani!!
Nakusalimia kijana...
Swalama bwana b52, vp khali yako kwa ujumla?