Tobaaaa

Huyu ukikutana naye njiani lazma ujinyee + ujikojolee kwanza ndio mambo mengne yatafata . . . Mwngne atarahsisha kazi atazmia. . .
 
Mbuzi mzee wewe haya majitu huwa unayatoa wapi Mkuu??!!!,dah!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Asia, hasa mashariki ya mbali ni kitoweo safi sana hicho
 
Nimeota ucku nyoka mdogo anammeza nyoka mkubwa!wataalam wa ndoto nisaidien maana yake!
 
Nimeota ucku nyoka mdogo anammeza nyoka mkubwa!wataalam wa ndoto nisaidien maana yake!

Kwa msaada wa mzee yahya (RIP) wewe una dalili za kudhulumiwa mali zako

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…