Toa sababu kwa nini unaenda kununua Dada poa / malaya

Comfortability ya kutoa hela ili nimege sijawahi kua nayo
Umewahi kwenda club?? Yaani ukutane na msabwanda wa ukweli ushindwe kumhudumia na hela ipo mfukoni?? Labda kama network haisomi au we mwenzetu mlokole/ swala tano...achana na ile mzigo tako lainiiiiii; linapita tu hapo eti hauna mzuka nayo ??
 
Yeye ni kipoozeo... Ikumbukwe wengine tuko mbal n family zetu thus nakuwa Sina namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ninayemwita mke ni dada poa wa kimyakimya (siri). Hakuna asiye dada poa.
 
Ishu sio kutongoza ukianza Mishe za club na sehemu za starehe zenye watoto automatic utajipimia midude maana kuna midude mingne mtaani unaishia kutamani na maringi mengi ila kule ndo linakuchamkia mpaka basi
hata club watu wanatumia vipaji vyao mpaka wanajilia papa kiulani au kwa bei sawa na bure#domo zege akilipia 30 mwenye kipaji chake una weza kuta akatoa hata 10 au 5 ya kifuta jasho
 
hata club watu wanatumia vipaji vyao mpaka wanajilia papa kiulani au kwa bei sawa na bure#domo zege akilipia 30 mwenye kipaji chake una weza kuta akatoa hata 10 au 5 ya kifuta jasho
All in all unatoa ndo unapokea; vingne ni vya zaida ambavyo mtu anaweza akajilia kutegemea na connection aliyonayo; mfano mwingne kujuana na celebrates/politicians fulani anaweza shobokewa tu
 
Mzee we ni mimi kabisaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all unatoa ndo unapokea; vingne ni vya zaida ambavyo mtu anaweza akajilia kutegemea na connection aliyonayo; mfano mwingne kujuana na celebrates/politicians fulani anaweza shobokewa tu
ndo hivyo mkuu lazima kuwe na kitu cha ziada kinachokubeba katika hiyo tasnia ya mahaba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…