Toa sababu kwa nini unaenda kununua Dada poa / malaya

Namimi hiki ndio kilichonishinda kwa malaya. Ivi unachukua mwanamke humjui hakujui, mkifika humo ndani inakuaje? Yaani hamna ata cha kuongea, hakuna romance, hakuna kutomasana, ni kuingiza tu na kuanza kuchochea. Yaani mwanamke ata haguni, na akiguna unajua kabisa anaigiza, hakuna feeling zozote!! Hapo tena umevaa na li ndom juu. Sasa hii ina tofauti gani na kupiga punyeto? Daah.. mi siwezi aisee acha nigharamie.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutiana (sex) na kufanya mapenzi (lovemaking).

Hata hawa wadada wa mtaani wanaigiza hisia kwasababu unawapa hela, sema ww hujui tu TheChoji
 
Kwa wale mapro wenzangu toa sababu kwa nini unaenda kununua dada poa/malaya?


Binafsi sababu yangu kubwa ni ucheap wao wa kuwapata na kupata huduma kwa haraka bila bughuza bughuza za kuombwa hela ya nauli na msosi .

Akija najua ameshakula hivyo kwangu ananiletea huduma tu ambayo naipata na kujipigia kwa tani yangu tukimaliza kila mtu na lwake.

Zingine za kuongezea ni;

_Cheap and Quality .
_No stress
_easly to Afford
_Don't cost time
_
_

Zingine ongezea wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeuza anaitwa kahaba.

Sababu kubwa ni matatizo ya akili. Huwezi kumtolea fedha mwanamke ambaye anaingiliea na makumi ya watu kwa siku labda kama ubongo wako umeacha kufikiri sawasawa. Kuna sababu kwa nini mume akigundua mkewe anawindwa na mwanamume mwingine panachimbika. Huyo ni meanamune mwenye akili iliyo sawa. Halafu eti mwanamume mwingine anakwenda kununua kahaba aliyekuwa ambaye anatumikishwa na kila mwanamume!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom