Toa sababu kwa nini unaenda kununua Dada poa / malaya

Mhhh...Mkuu...!!!

Mtu uliyeingia naye makubaliano na mkataba wa kuishi naye siku zote katika maisha yako unamwita dada poa?

Mtu anayekuzalia au atakayekuzalia watoto na awe mama wa watoto wako unamwita dada poa?

So ulioa dada poa?

Nimeuliza tu.
Hata ninayemwita mke ni dada poa wa kimyakimya (siri). Hakuna asiye dada poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nilipohonga 100000 halfu demu mwenyewe akanizingusha papuchi yake ndo nilijua umuhimu wa dada poa; maana nilikuwa maeneo ya lachaz nakula vitu vyangu demu kaniweka kishenzi na mwili nishauandaa kisaikolojia; ikabidi nijichukulie goma kali lenye viwango vyote tbs/tfda; mpaka leo nikiona goma langu linanichelewesha wala sifikiri mara mbilimbili; naangalia niende kona bara/meada/meridian/maisha/ ndo chimbo zangu maana niña kadi ya kudumu mpaka nitakapookolewa na mwanamke ambaye atakuwa na kifurushi kisichokuwa na kikomo. Sio mambo ya leo siji pumbafu kabisa /leo sijisikii
Unaishi kizungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki giza kikianza kuingia zunguka uwanja wa CCM Kirumba kwa nje, yaani anzia hapo Villa PArk zunguka hadi utokezee hapo ulipoanzia Wallah...ata kuonja unaruhusiwa (dereva wangu wa bodaboda ndiye alinipitisha maeneo hayo hadi nikajiona mshamba, miaka yote hadi nazeeka sijawahi kusikia "karibu kaka ujipimie"...
Kumbe tunawaokoa wengi😀😀😀😀
 
Nimekuwa nikifuatilia sana kitu fulani kwa hizi threads za machangudoa, ni kuwa wale ambao tunatambua au kuhisi ni jinsia ya kike hapa JF huwa hawa comments chochote. Sasa sielewi kuwa hawazioni au wanazichukia na kuishia kusoma tu na kutoa mifyonyo ya nguvu kimya kimya!?
 
Laki moja ukienda kununua unapata papuchi kumi za elfu kumi kumi au papuchi 20 za elfu tano tano ukisubiri sana mpaka ,mida ya wanga unapata papuchi 30 za shilingi elfu tatu tatu na buku la boda linabaki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu mchanganuo,

HAKIKA Unaweza Enda Benki Kuombea Mkopo na UKAPATA 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Mambo ukiyajulia utumii nguvu nyingi mzee mwenzangu; kuna raha unamtongoza mwanamke huku moyo wako unajua uhakika wa gemu upo sema ndo unataka kuwa na options nyingi tu

Mwanaume mchapakazi
Hana mda huo wa kupoteza Kuanza Kutizamana Usoni, Kujiuma uma Kutongoza Mwanamke.

Anahitaji tu huduma, kisha akaendelee na shughuri zake za kuingiza kipato.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom