To you my future hubby

Hapo ni maneno tu ya maandishi kufurahisha jukwaa lakini uhalisi uliomakinika hakuna.
 
dont rush to make decisions while you're excited..ninavyowajua wanawake ni viumbe wa kuchoka haraka sana..ataapa hayo yote ila ndani ya mwezi mmoja umeyasahau yotee
 

Rafiki unaimba or?? Sio kwa kizungu hiko heheheee kumbe umo lakini huvumi



Mahondaw wa Smart911
 


Tehtehteh qualifications zake hizo my king.. zigo linahuu hahahaah wanawake sie mweh!!



Mahondaw wa Smart911
 
However I won't do all these if you are not tall, handsome and if you have kibamia
Aisee... Ufupi, sura mbaya na kibamia ni hali mbaya sana kuwa na hizi sifa. Kweli pesa si kila kitu, hapa na amini.
 
Hawa ndo wanawake nisiotaka niwaona na kuwaskia ktk maisha yangu,.. Wanadumaza akili za vijana kwa kutokua na changamoto mpya, vichwa vyao 100% vimejaa ngono tu...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…