To you my future hubby

To you my future hubby

I can't wait to meet you my dear future husband...Nitakutunza na kukuheshimu maisha yangu yote. Your parents will be mine and your relatives and friends will be mine as well...

Nitakuwa na wewe in hard times as well as good times... I will be your comforter and you will never feel alone when am still alive....

Even when you go broke I will always be with you tutakula hata makande, bamia hata ugali na chumvi pamoja as long as we love each other nothing will go wrong... hata tukienda KUPANGA tandale as long as I see you alive that's enough for me hubby...

Sitadiriki kuchepuka hata kama utakuwa hunifikishi kwenye orgasm... I will fake the romantic cries ili tu ujione na wewe unajua kumkuna mke wako...

Asubuhi nitakuamsha na busu tamu nakukupeleka mpaka bafuni nikuogeshe kama kitoto kichanga...

Mchana nitakuletea lunch mpaka ofisini kwako iliyoandaliwa na your own sweet wife... jioni nitakuja kukudrive mpaka nyumbani kwetu... kabla ya yote nitakupa kimoja cha jioni halaf nitakuacha upumzike while am busy in the kitchen cooking for you hubby...

At night tunaingia mchezoni kwa style yoyote utakayotaka dear future hubby...

However I won't do all these if you are not tall, handsome and if you have kibamia
Njoo huku ubavu wangu nilishapatwa na wasiwasi nikajua ubavu wangu umeliwa na Fisi kumbe uko timamu kabisa..!

Haraka mahabuba mimi natangulia makutano junction utanikuta huko nikupe pole ya kazi ngumu ya kunitafuta..
 
Unless kama nimeolewa na mtu nisiemfeel yani nimeolewa ili nionekane nimeolewa but kama nimeolewa na a man whom I really fell in love with that's what I will do for him till death do us apart.

Kuna watu tunajua kupenda bwana sema hatujapata wa kuwapenda
Miss si unipende mimi
 
Njoo kwangu
 
Back
Top Bottom