Aiseee mkuuu ,, nawish nije oa mwanamke aliye responsible km ivo ulivosema maana duuuhhhhh unaweza hisi apa duniani umebaki mwenyewe tu .....
Ivi ayo unayoyasema nikweli utayafanya au ndo unajipalilia mkaa ???? Kama ndio Uko poa sana ,,Ila kua Good Wife ungeweka kabisa na Uchaji Mungu !!.