codifier
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 438
- 872
taabu na shida za dunia haziishi..zinapunguzwa tu kipenzi.Zile taabu zimeshaisha my dear?![]()
Viumbe hai wana kitu kinachoitwa sexual traits ambazo ndizo huvutia jinsia nyingine linapokuja suala la sex kwa mfano wanaume wana sauti nzito,ndevu,vifua vikubwa e.t.c ambavyo huvutia wanawake na wanawake wana sauti nyembamba,ngozi laini,maziwa,chura e.t.c ambavyo huvutia wanaume!....kwa upande wangu mimi huwa navutiwa na chura kama vile kulivyo na wanawake ambao huvutiwa na vifua vikubwa vya wanaume!Inakusaidia nini hiyo chura? And do you have a reasonable joystick au ndo vibamia wenyewe![]()
![]()
![]()
Umechafukwa wajina maana nafatilia comments zako naona unatema cheche tuu.hahahahah wanatuchosha na maurefu yao hawana lolote!hahha!huenda ningetaman! tunasahau sana kuangalia IQ za wanaume!janaume toka asbh saa 4 lina cheza pooltbale kuna kazi hapo sasa shogaa!...au linaBET!limetunisha mgongo ova linaangalia vitu vya maaanaaaaa!nachefukwa sana na desgn ya hawa aic!
Niitieni wasukuma waje wanipe tafasiri hii "nkema amanilwe njingo"Viumbe hai wana kitu kinachoitwa sexual traits ambazo ndizo huvutia jinsia nyingine linapokuja suala la sex kwa mfano wanaume wana sauti nzito,ndevu,vifua vikubwa e.t.c ambavyo huvutia wanawake na wanawake wana sauti nyembamba,ngozi laini,maziwa,chura e.t.c ambavyo huvutia wanaume!....kwa upande wangu mimi huwa navutiwa na chura kama vile kulivyo na wanawake ambao huvutiwa na vifua vikubwa vya wanaume!
Mwanamke anajulikana nyuma inye+ ndo maana yakeNiitieni wasukuma waje wanipe tafasiri hii "nkema amanilwe njingo"
nashukuru nadhani @behaviorist anatumia kanuni hiihahahahah wanatuchosha na maurefu yao hawana lolote!hahha!huenda ningetaman! tunasahau sana kuangalia IQ za wanaume!janaume toka asbh saa 4 lina cheza pooltbale kuna kazi hapo sasa shogaa!...au linaBET!limetunisha mgongo ova linaangalia vitu vya maaanaaaaa!nachefukwa sana na desgn ya hawa aic!
Acha kumchanga mwenzio ana simple brain ndiyo maana vigezo vyake lazima visuits minds yake..! Ila asikushambulie maana naona yeye akiulizwa chura anachukia.Viumbe hai wana kitu kinachoitwa sexual traits ambazo ndizo huvutia jinsia nyingine linapokuja suala la sex kwa mfano wanaume wana sauti nzito,ndevu,vifua vikubwa e.t.c ambavyo huvutia wanawake na wanawake wana sauti nyembamba,ngozi laini,maziwa,chura e.t.c ambavyo huvutia wanaume!....kwa upande wangu mimi huwa navutiwa na chura kama vile kulivyo na wanawake ambao huvutiwa na vifua vikubwa vya wanaume!
Umechafukwa wajina maana nafatilia comments zako naona unatema cheche tuu.
Mpe hii Nalendwa

hahaha nawapa ushauri madogo wasianglie wajihi tu waanglie na upstairs !lol! Nalendwa yupo anakuona anakuonaa
![]()
Eti limetunisha mgongo, sikuwezi wallah!
Yaani haya ni yale yale tulikuwa tunaongea jana. Kwa kweli mwanaume IQ bwana, si mrefu si mfupi nyingine zote mbwebwe tu.
Halafu imagine what a wastage mtu wa kuwa idle kiasi hicho, haipendezi kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamkera kumuuliza chura..!