Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Kaizer siye bado tunaishi kama paradiso ndogo, tunapendana sana na my husband tena sana.No need of revive nasemea kwa wengine ambao ndoa zimekuwa ndoano wabadilike wakumbuke enzi hizoo.
Mrs Nyamayao bila visa unadhani ndoa zitadumu? LOL...nadhani anamuweka na yeye pia anawekwa....kwani sasa hivi umeacha kusali? (halafu isije ikawa unadhania kajiweka kumbe kajiweka pengine kwako kaegesha kinamna? ohooo)
haaa mr una visa cjapata kuona wallaahh..nimecheka sana, sasa nani " anakuweka"?...nasali lakini cku hizi nime base zaidi kuwaweka wanangu...na yeye ni muda wako wa kuniweka nilijitahidi sana enzi hizo.
Mama B:
Nadhani hii post una-assume Mr wako anaweza akawa anapita "mitaa" hii na kwahiyo unamfagilia! Ila kwa uzoefu wangu wa karibia miaka 20 ya ndoa, hamuwezi kuendelea kuishi "kama vile mwanzo". Kadri muda unavyopita, kwa namna moja au nyingine maisha ya ndoa yana-tend kuwa "mazoea":
Cycle hiko hivi:
1. Amka asubuhi kwenda kazini (binafsi au employed) : at a time hata Habari ya Asubuhi inakuwa ngumu kutamka - Kama mna-share usafiri the next thing itakuwa ni muungurumo wa gari - and thereafter kutelemka kwenye gari : Neno kwaheri ni nadra - sana sana utasikia "baadaye"!
2. Kutoka kazini : Mlango utafunguliwa then utasikia "za saa hizi" - "safi" - ndani ya foleni kila mmoja na ya kwake - mtapitia mahitaji (probably) - "nipe shs 20,000 nikanunue xyz.." - wallet inatolewa na pesa hiyo, mlano wa gari unafunguliwa then unfungwa then... after a while mnarudi barabarani...
3. Mkifika nyumbani: Mr yupo sebuleni ana-zuga na TV na Mrs yupo jikoni "anapiga kelele" na HG na watoto!
4. Kama hali inaruhusu : Mr hutamsikia anasema "wewe mimi natoka kidogo"! Kurudi before 22hrs ni nadra na akirudi atakuwa in "a different state"
5. Mrs atakuwa ameshalala kitambo na Mr atachungulia kwenye "hot pot" kama menu inaeleweka - otherwise ataenda bafuni na eventually kupanda kitanda "mgongo kwa mgongo"!
6. Kumi na moja asubuhi the next morning: go to number 1 above!
Hii inaweza kuendelea for years and years!
hivi kale kafavaorite signature kako umekadeposit benki gani/....kale ka kufall in love...nahic nimekamic.....
apo juu...kuwekana kwenye sala kuna mizunguko pia.....unajuaje kama na 'upande wa pili' wa mji kuna mtu anamuweka kwenye sala ili wewe usije ukastuka? si ilimradi amani ipo basi eeh?:tape:
Dark City kabla hujapeleka tswira kwa Mama watoto kukutwa anagawa; rudisha picha ya wewe kurudi na andawea imeloa jalaba; hujakamatwa na wala hujakutwa lakini umemaliza infidelity ya chapchap na bahati mbaya hukujiswafi vizuri na umerudi na ushahidi tosha home; hii inakuja kutokea baada ya vi sms kibao vya kazi za nje kufumwa na mama watoto. Sasa siku yeye umefuma anagawa unaanziaa wapi kutoa na kupitisha hukumu...........kama ni mkristo kwenye Biblia kuna kisa cha Mwanamke mmoja aliyekutwa akizini alikokotwa mpaka kwa Yesu na huko waliomkokota wakamwuliza Kristo wamtendee nini?! Ona mfumo dume hapa.............aliyeonekana kukosa ni yule Mwanamke peke yake.......sasa huko sitaki kuajdili kwani hata Biblia haikushughulikana nkao............kikubwa hapa ni kuwa ........unapoanza kuchukua dhamana ya kupitisha hukumu..........jihukumu wewe kwanza!
najua nitapiwa kelele hapa...........Lakini unatakiwa kusamehe! WITHOUT EXCEPTION! Thats true love! Wapo waliobahatika kufanya hivyo; Mungu kawabariki na naamini ndoa zao zimepona! Wako walioamua kupitisha hukumu tena nyingine za kutisha..............wengine wameishia kuchanganyikiwa ; wengine wamebaki wakioa na kuacha kila kukicha! Na wapo walio na ndoa za amani baada kupititia na kuachana katika mazingira hayo!
wacha anisaidie.....
mmhhh.....:tape:
wacha anisaidie.....
sasa unatakaje? niliomba kidogo nigeuke kuwa karizmatiki lakini hukubadilika, sas umejibadilisha mwenyewe...btw naombi yake ya upande wa pili nadhani hayapokelewi, huyo muombaji aombe tu kwa kufurahisha nafc yake kwamba na yeye anaombaga.
Mhhh, wewe ni mtu wa pekee. Labda uliumbwa siku ya kwanza kabla ya viumbe wote.
Wengine ukigusia tu uwezekano wa kuwa na msaidizi au hata kupiga story za jamaa anayemfahamu (kwamba anajirusha na small house) basi inakuwa balaa. Atapuliza vuvuzela hadi uyaonee huruma masikio yako. Huyo Daktari aliyekufanyia operesheni ya kuondoa chanzo cha wivu naona alishakufa siku nyingi. Laiti angekuwepo, basi angesaidia ndoa nyingi ili zidumu kwa amani kwa kuwaacha Wanaume wapate wasaidizi wa kuwaondelea vyanzo vya depression na pressure!
mkuu unadhani anamaanisha huyo....hehe ajue uone timbwili lake..... LOL
Mhhh, wewe ni mtu wa pekee. Labda uliumbwa siku ya kwanza kabla ya viumbe wote.
Wengine ukigusia tu uwezekano wa kuwa na msaidizi au hata kupiga story za jamaa anayemfahamu (kwamba anajirusha na small house) basi inakuwa balaa. Atapuliza vuvuzela hadi uyaonee huruma masikio yako. Huyo Daktari aliyekufanyia operesheni ya kuondoa chanzo cha wivu naona alishakufa siku nyingi. Laiti angekuwepo, basi angesaidia ndoa nyingi ili zidumu kwa amani kwa kuwaacha Wanaume wapate wasaidizi wa kuwaondelea vyanzo vya depression na pressure!
ha ha ha ha!Mama B:
Nadhani hii post una-assume Mr wako anaweza akawa anapita "mitaa" hii na kwahiyo unamfagilia! Ila kwa uzoefu wangu wa karibia miaka 20 ya ndoa, hamuwezi kuendelea kuishi "kama vile mwanzo". Kadri muda unavyopita, kwa namna moja au nyingine maisha ya ndoa yana-tend kuwa "mazoea":
Cycle hiko hivi:
1. Amka asubuhi kwenda kazini (binafsi au employed) : at a time hata Habari ya Asubuhi inakuwa ngumu kutamka - Kama mna-share usafiri the next thing itakuwa ni muungurumo wa gari - and thereafter kutelemka kwenye gari : Neno kwaheri ni nadra - sana sana utasikia "baadaye"!
2. Kutoka kazini : Mlango utafunguliwa then utasikia "za saa hizi" - "safi" - ndani ya foleni kila mmoja na ya kwake - mtapitia mahitaji (probably) - "nipe shs 20,000 nikanunue xyz.." - wallet inatolewa na pesa hiyo, mlano wa gari unafunguliwa then unfungwa then... after a while mnarudi barabarani...
3. Mkifika nyumbani: Mr yupo sebuleni ana-zuga na TV na Mrs yupo jikoni "anapiga kelele" na HG na watoto!
4. Kama hali inaruhusu : Mr hutamsikia anasema "wewe mimi natoka kidogo"! Kurudi before 22hrs ni nadra na akirudi atakuwa in "a different state"
5. Mrs atakuwa ameshalala kitambo na Mr atachungulia kwenye "hot pot" kama menu inaeleweka - otherwise ataenda bafuni na eventually kupanda kitanda "mgongo kwa mgongo"!
6. Kumi na moja asubuhi the next morning: go to number 1 above!
Hii inaweza kuendelea for years and years!
mke wa Mbu huwa namuelewa sana..."anajihami".kitendo ambacho hata mie nakifanya, kuna mambo mengine inabidi tu mtu ujiami...mie cpo kwenye ile ya "vyetu" kwa kila kitu, kuna vingine "vyake" vingine "vyangu" na baadhi "vyetu"
..."anajihami"...mnh!
hii taasisi kweli imepoteza msingi wake.
Anyway,... siwalaumu kina mama wanaoamua ku chukua chao mapema.
Kama familia haieleweki, siku roho ikiachana na mwili wanandugu wanafanya mavuno.
Binafsi i dont mind Mke kuwa na vyake, lakini not to the extent kwenye matumizi ya watoto pia anabania.
Watoto ni wetu, kumsukumia majukumu mwanaume kwa kisingizio "wewe si ndio baba yao!" wala haichekeshi!
Huo ni uchoyo, ubahili na ufisadi unaokausha kabisa mapenzi 'yaliyobakia'
Mama B:
Nadhani hii post una-assume Mr wako anaweza akawa anapita "mitaa" hii na kwahiyo unamfagilia! Ila kwa uzoefu wangu wa karibia miaka 20 ya ndoa, hamuwezi kuendelea kuishi "kama vile mwanzo". Kadri muda unavyopita, kwa namna moja au nyingine maisha ya ndoa yana-tend kuwa "mazoea":
Cycle hiko hivi:
1. Amka asubuhi kwenda kazini (binafsi au employed) : at a time hata Habari ya Asubuhi inakuwa ngumu kutamka - Kama mna-share usafiri the next thing itakuwa ni muungurumo wa gari - and thereafter kutelemka kwenye gari : Neno kwaheri ni nadra - sana sana utasikia "baadaye"!
2. Kutoka kazini : Mlango utafunguliwa then utasikia "za saa hizi" - "safi" - ndani ya foleni kila mmoja na ya kwake - mtapitia mahitaji (probably) - "nipe shs 20,000 nikanunue xyz.." - wallet inatolewa na pesa hiyo, mlano wa gari unafunguliwa then unfungwa then... after a while mnarudi barabarani...
3. Mkifika nyumbani: Mr yupo sebuleni ana-zuga na TV na Mrs yupo jikoni "anapiga kelele" na HG na watoto!
4. Kama hali inaruhusu : Mr hutamsikia anasema "wewe mimi natoka kidogo"! Kurudi before 22hrs ni nadra na akirudi atakuwa in "a different state"
5. Mrs atakuwa ameshalala kitambo na Mr atachungulia kwenye "hot pot" kama menu inaeleweka - otherwise ataenda bafuni na eventually kupanda kitanda "mgongo kwa mgongo"!
6. Kumi na moja asubuhi the next morning: go to number 1 above!
Hii inaweza kuendelea for years and years!
ha ha ha ha!
baba enock Thumb up
kama itatokea 'hakuna kati yenu wa kujishusha na kujifanya mjinga'' akaamua kuvunja ukimya hiyo ndoa ndo inakufa gradually