To my special one humu chit chat.

To my special one humu chit chat.

kwanini unapenda kuvalia njuga mambo yasiyokuhusu? 🙂
kwani nilikuita kwenye hii thread,ushaniambiaga nisikumention au kucoment kwenye threads zako nikatulia,naona we ndo unanifuatilia?sina time na ww na sioni haja ya kunijibu kimajungu kila siku kwanza sikufahamu wala hunifaham.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom