To my special one humu chit chat.

To my special one humu chit chat.

una matatizo wewe
kwani nilikuita kwenye hii thread,ushaniambiaga nisikumention au kucoment kwenye threads zako nikatulia,naona we ndo unanifuatilia?sina time na ww na sioni haja ya kunijibu kimajungu kila siku kwanza sikufahamu wala hunifaham.
 
bado ngoja nikasake,halafu nishaanza kukupatia picha

bora upatie tu picha maana, poteza vitu vyote sio cha muhimu kama hicho jitahidi peleka taarifa hata police.
 
bora upatie tu picha maana, poteza vitu vyote sio cha muhimu kama hicho jitahidi peleka taarifa hata police.
hehehe,we haya tu nafanya timing
 
jaman kumbe unafanya timing jitahidi. Au weka matangazo katika kila njia kuu anaweza kawa kachepuka kidogo.

Utajua kama nakufanyia timing wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom