To my dear single mothers

Unaweza kukuta mwanaume hana maneno matatizo yana kuwa kwa baby father ambae anajuinea wivu sasa umeolewa
Hata kama ana wivu kiasi gani hiyo kitu siwezi kukubali, kama tumeshaachana si abaki na ustaarabu wake,aliniona wa kazi gani akanitelekeza na kitoto changu halafu leo alete zake hapana aiseeee
 
Huo ni uelewa Mdogo wa mwanaume hilo la mtoto sio tatizo ukipenda boga penda na ua lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ana wivu kiasi gani hiyo kitu siwezi kukubali, kama tumeshaachana si abaki na ustaarabu wake,aliniona wa kazi gani akanitelekeza na kitoto changu halafu leo alete zake hapana aiseeee
Njia rahisi ninadhani ukiwa kwenye ndoa ni kumshirikisha yote mume wako na kumpiga stop ✋ baba junior akijifanya yeye kidume
 
Mwanaume asiyemkubali mwanangu na uhusiano unakufa
 
Loving them is a call, you need to be strong if you let yourself fall in love with such.
Having a child out of wedlock doesn't make a person less a human
 
Mimi nadhani ni vema mume akubali kuishi na mtoto kwa ridhaa yake bila kumlazimisha.

Miaka hii kumuamini mtu kuishi na mtoto wako ni hatari kama kumuamini simba, watu tumekuwa wakatili na wachafu sana. Hata mume kuishi na mtoto wako unatakiwa kuwa makini sana, usishangae mtoto kafanywa mke wa pili.
 
Thank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.

Ikiwa wewe ni Single mother lakini kuna mwanaume anataka kukuoa ni vema kumueleza ukweli kuwa una mtoto na umwambie ukweli ni mazingira yapi ulimpata kama atasema hataki kumlea mpeleke kwa baba yake (ikiwa baba yake yupo na anamtambua na kumuhudumia).

Lakini ikiwa humjui baba yake (mathalani ulibakwa na humjui mbakaji/mbakaji yupo jela) au baba yake hayupo (amefariki)
mueleweshe kwa kina, endapo atashikiria msimamo wake wa kutomlea mwanao basi jua huyo ni wa kuachana naye maana hana upendo wa kweli bali amekutamani tu (upendo una mambo mengi)

Kumpleka mtoto wako akaishi mbali na wewe kwa sababu za kijinga ni utesaji na dhuluma (Uvivu wa kufikiri) kwa mtoto asiye na hatia pia inaleta usumbufu wa akili kwa mzazi na mtoto huyo hawezi kuwa vile unavyotaka.

Wajibika Mama aishi.
 

Umeanza vizuri lakini umemaliza vibaya. Kama hataki kukaa na mwanao mpeleke kwa baba yake kama baba hayupo ni bora uishi naye wewe zaidi ya hapo muache aende huyo hakuwa riziki yako.
 
Oyaaa! Wewe sky,mbona nyie mkikaa na watoto wa waume zenu ni full kuwatesa!
 
Hicho kijidudu Ndio kilichokuzalisha na huyo mwingine.
Msilete dharau wakati mnachodharau ndicho mlichokililia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…