Mi naangalia akili tu hayo mengine sitaki hata kuyasikia!
Mkuu naendelea kupata elim ya kutosha. Awali niliposoma headng nikajua ni mambo ya wadada yanayohusu miili yao,kumbe nilikua wrong, nikasema wacha nifungue,loooh!kumbe bonge la mada,safi sana.
Kwa sababu mimi sikujui kwa vyovyote nitahakikisha vp kwamba wewe ni mtu wa kawaida usiye na hila? Maana naweza kujikuta mikononi mwa muuza unga anayetafuta kontena ya kisafirishia mizigo yake, jambazi au mwenye mambo mengine ya giza
Few days after my lovely sister charminglady kuandamana ....lol!
For our own future.... especially my future:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Kwanini unadhani account yangu inahusika?
1. Utaenda lini nyumbani kwetu kujitambulishaaa
2. Lini tukapime HIV?
3. (....)
3. we sio type yangu!!!! (yaani tangu unaanza shule primary....sec...chuo...mtaani kwenu...ofisini) hujapata hadi leo?
Mimi nakufanyia masihara tu hapa ujue... usinichukulie serious eti baba paroko...Kwanini unadhani account yangu inahusika?
Unaona nguvu ya maandamano..... Karibu sana kakaa yangu mpendwa, pole sana hujaumwa na mbu ya Butimba, vipi huhisi dalili za malaria malaria, typhoid haijakugusa kweli maana duh!!!!!!!!!!
Kuna mtu ananitafuta.
Narudia tena kuna mtu ananitafuta.
Nipe nafasi utajua yote!
Kwa muda gani mrembo?
Khaaaaaaa!!!!!!!